scania

Scania (Swedish: Skåne (Swedish: [ˈskôːnɛ] (listen))), is the southernmost of the historical provinces (landskap) of Sweden. The former province is roughly conterminous with Skåne County, created in 1997. Like the other former provinces of Sweden, Scania still features in colloquial speech and in cultural references, and can therefore not be regarded as an archaic concept. Within Scania there are 33 municipalities that are autonomous within the Skåne Regional Council. Scania's largest city, Malmö, is the third-largest city in Sweden, as well as the fifth-largest in Scandinavia.
To the north, Scania borders the former provinces of Halland and Småland, to the northeast Blekinge, to the east and south the Baltic Sea, and to the west Öresund. Since 2000, a road and railway bridge, the Öresund Bridge, bridges the Sound and connects Scania with Denmark. Scania forms part of the transnational Øresund Region.From north to south Scania is around 130 km; it covers less than 3% of Sweden's total area. The population of over 1,320,000 represents 13% of the country's population. With 121 inh/km2 Scania is the second-most densely populated province of Sweden.
Historically, Scania formed part of the kingdom of Denmark until the signing of the Treaty of Roskilde in 1658. Denmark regained control of the province (1676–1679) during the Scanian War and again briefly in 1711 during the Great Northern War. Scania has been an undisputed part of Sweden since 1720.

View More On Wikipedia.org
  1. Body Ya Scania Mende ya Aluminium

    Mambo vp wakuu. Nnatafuta Body ya aluminium ya Mende( Scania kipisi). Ambayo ipo kwenye hali nzur. Npo Dar esa salaam. 0693296809
  2. A

    Wauzaji Wa Tipper Truck Howo, Faw na Scania Mende wapo wapi?

    Habari wadau naomba zilipo yard za tipper truck howo,faw na scania mende au yard au ofisi zao kwa dar Thanks
  3. Mwaka 2004 ndani ya SCANIA mayai

    SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana. MOja nilikuwa nayo mimi tank.. Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank, Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha PEPSI.. Baada ya hapo unaanza kupiga shimo,,,ndani uko peke yako....ndio watu wachache tulioanza...
  4. W

    TUNUNUA MATAIRI MABOVU YA MABASI NA SCANIA KWA BEI NZURI!

    Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania. 💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja! ✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi. 📍 Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
  5. Wapi napata spea parts za scania kwa bei rafiki ya jumla?

    Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo. Natanguliza shukrani.
  6. Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyotengenezwa na kampuni ya Scania

    Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇 My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana. ====== Scania Tanzania wameandika hivi kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii: Habari wadau...
  7. WAZO: Wamiliki wa mabasi fungeni kamera ulinzi (CCTV Camera) japo kwenye lango la kuingilia abiria

    Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi. Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
  8. Mbeya hatuna hata bus la scania G7 tangia sauli hatoweke tunatia huruma sana hii michina tunapanda basi tu!

    Habari za wakati huu Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo. Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
  9. N

    BOX BODY vs SCANIA MENDE

    Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck), Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina, Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda...
  10. N

    Car4Sale Scania 2019 R450 Tractor Unit for sale (UK)

    2019 Scania R450 6x2 Tractor Unit Mileage: 677,000kms MOT: April 25 Euro 6, High roof sleeper cab, auto gearbox, air con, double bunks, fridge, microwave, coffee machine, leather Price - Tshs 98 million mpaka Dar Port.
  11. N

    Car4Sale Scania 2019 P450 for sale (UK)

    2019 Scania P450 · Truck · Driven 550,000 miles Single Bunk Sleeper Cab Lightweight midlift PTO PrepAlloy wheels ADR Compliant Ex Sainsbury's Price - Tshs 62 million mpaka Dar port
  12. HOWO used au SCANIA used?

    Habari za leo wana JF. Niko katika maandalizi ya kutafuta gari ya Mizigo kwa kazi Zangu za biashara ya mazao. Biashara yangu ni kukusanya mazao toka maeneo ya vijijini maporini na sehem kama hizo Kisha kupeleka mikoani. Kulingana na nature ya biashara hii, hulazimika kupita katika njia mbaya...
  13. Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  14. N

    Scania, Heavy equipment na Landrover kutoka UK

    Nina anzisha huu maalumu kwa mtu yoyote anayetafuta vitu kutoka UK. Hasa magari makubwa(HGVs), heavy equipment, agricultural equipment na magari madogo kama Range Rover, for a reasonable price but good condition. Nina heshimu siri za mteja(customer confidentiality) Contact: WhatsApp +44...
  15. Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  16. Hivi ni nani alileta huu usafiri wa boda boda Tz?

    Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki...
  17. Engine na gearbox za scania 124

    Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124. Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
  18. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  19. Scania 124 ya kukodi

    Habari za leo wadau Natafuta scania la kukodi kama mtu hana mizigo mimi ninayo Namlipa kwa mwezi kiasi tutakacho kubaliana au kwakila mzigoninaosafirisha Scania iwe nzima Kwa sasa sina uwezo wa kununua used kutoka nnje Nalipa pesa inadvance kila safari Akhsante Nakaribisha maoni
  20. J

    Bado sijaona mbadala wa Scandinavian katika usafiri wa Mabasi. Nauli ilitofautiana kwa aina ya SCANIA

    Natumia sana usafiri wa mabasi, bado sijaona mbadala wa Scandinavian kwa kweli. Hawa akina Sauli, Shabiby, sijui ABC bado sana aisee. Scandinavian ilikuwa bora kuanzia kwenye vyuma vyenyewe yaani Scania tupu hakuna Layland hadi kwenye huduma. Ligi ya sasa ni vyuma vya mchina aka kambi popote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…