sedoyeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa Prof. Eliamani Sedoyeka kwa Mapinduzi ya Maendeleo (IAA Mkuu WA Chuo)

    Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
  2. JamiiForums Tanzania Shauri la Sekretariati ya Maadili vs Prof. Sedoyeka wa IAA: Natoa Ushauri wa Bure

    Rejea thread hii kwanza: Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka Pia soma majibu ya Prof. Sedoyeka hapa: Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili Nina uzoefu wa masuala ya...
  3. JamiiForums Tanzania Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili

    Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo ameyakana yote Kikao cha Baraza la Maadili liliketi chini ya Mwenyekiti wa Baraza, Jaji Mstaafu Rose...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Prof Sedoyeka, mafisadi wanapambana nawewe kwa kuziba mianya ya wizi na tenda zisizo na tija kwa Taifa. Vumilia

    Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi? Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…