Habari zenu wana JF,
Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa..
Ni kama uvimbe ulio...
Je, kwa nini wasichana wa siku hizi wamekuwa wavivu sana kunyoa nywele za sehemu zao za siri?
Tatizo liko wapi wakuu? Au nyembe bei ghari?
Kwa sababu Kati ya wanawake 10 niliowala tangu mwezi wa 6 mpaka sasa ni 2 tu kati yao ndio walikuwa wamenyoa nywele zao za sehemu za siri (papuchini) ila...
Wengi wamekuwa wakiuliza juu ya ugonjwa huu; mjadala huu tunajadili kwa undani juu ya maradhi haya:
=========
UFAFANUZI WA KINA WA UGONJWA HUU
Ugonjwa kwa kitaalamu vinaitwa human papillom virus HPV,
Vinaambukizwa kwa mgusano wa damu au wa majimaji kutoka kwa mtu mwenye navyo hadi mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.