sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nimepita sehemu nikakuta watu wanaomba Mungu kukemea mvua isinyeshe! Nimewashangaa sana

    Nimewaza sana leo! Yaani watu kabisa wanamuomba Mungu kukemea Mvua isinyeshe! Kwamba mvua inaleta uharibifu! Bahati mbaya kwenye hayo maombi kulikuwa na watu wazima, wazee hadi watoto wadogo! Sikatai wao kufanya maombi! Lakini kinachonitisha ni hao watoto watakuwa na mentality ya kukemea vitu...
  2. MamaSamia2025

    Ifike sehemu Lema ajue kifo ni cha kila mtu. Aache kutishia watu vifo

    Ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kikuu cha watoa taarifa, CHADEMA, kukosa hoja na kutumia neno KIFO kutishia watu walio kinyume na itikadi yake. Huyu akishika dola si ataua watu wengi sana? Hakika kiongozi kama Lema ni hatari sana kwa usalama wa raia. Yaani ukiwa naye tofauti lazima akuambie...
  3. Mjanja M1

    Mafuriko Thread: Picha za mafuriko sehemu mbalimbali ulimwenguni

    Huu ni uzi maalumu kwaajili ya kupost picha za mafuriko sehemu ulipo. TUPIA PICHA ZINAZOONYESHA MAFURIKO YA MVUA SEHEMU MBALIMBALI ULIMWENGUNI.
  4. Teslarati

    Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  5. Kalaga Baho Nongwa

    Kisiwa cha Changuu, Zanzibar: Sehemu nzuri ya kutalii na kubarizi

    Habari ya muda huu wakuu.. Leo nitatoa dodoso dogo linalozungumzia histori,na maelezo ya vivutio mbalimbali vinavyopatikana kisiwa kidogo kilivhopo maili 4 kutoka unguja. Kisiwa hiki kinaitwa Changuu au Prisona au kisiwa Cha Kobe. Kisiwa Cha prisona kilianza kujulikana hivyo, kuanzia mwanzoni...
  6. Shining Light

    Jinsi ya Kuhudumia Sehemu za Siri kwa Tahadhari

    Inawezekana kila mwanamke anatamani kuwa na uke wenye harufu nzuri na kamili, hasa kwa furaha au kuridhika kimapenzi. Lakini, matumizi ya bidhaa za utunzaji wa kike yanaonywa na wataalamu wa afya. Mara nyingi, wanawake hutumia bidhaa bila ushauri kutoka kwa wataalamu, wakijaribu kufikia lengo la...
  7. Ghost MVP

    Theluji Yaipiga sehemu kubwa za Uingereza; zaidi ya shule 100 zimefungwa, usumbufu wa usafiri unatarajiwa

    Yellow Weather imekuwa ikitoa tahadhari ya hali ya baridi kati katia maeneo ya Uingereza. Usiku wa kuamkia leo Hali joto ilishuka sanaa chini ya Nyuzi joto za Barafu na kusababisha baridi kali sanaa na Barafu kushika katika Miji mingi ambayo imepelekea barabara Kufunikwa kwa Theluji na kuleta...
  8. Shining Light

    Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  9. Mjanja M1

    Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  10. Mjanja M1

    Wanawake msijisafishe Sehemu za siri mara kwa mara

    Habari zenu, Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake. HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo ni tabia ambayo si nzuri maana inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa...
  11. A

    DOKEZO Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  12. Lord denning

    Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  13. Webabu

    Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa. Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani...
  14. GENTAMYCINE

    Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  15. Selemani Sele

    Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  16. sky soldier

    Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    Mwanza ikitengenezewa mazingira mazuri itakuwa sehemu nzuri ya kuishi hapa Afrika Mashariki

    Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi. Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
  18. theartfuldodger

    Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili

    Habari, Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili. Natarajia kusoma nyuzi kadhaa nzuri.
  19. Ritz

    Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

    Wanaukumbi. BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema. Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo...
  20. chiembe

    Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
Back
Top Bottom