sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO DC Mbinga avunje Hostel Bubu kwenye Shule za Sekondari Mbinga DC na Mbinga TC

    Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana hazina hadhi ya kuwa hostel. Baadhi ya shule kama vile Kikolo, Mkwaya,Dr.Shein,Mkoha,Matiri...
  2. Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

    Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii. From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
  3. Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  4. Etaro Sekondari Yadhamiria kuwa na High School ya Somo la Kompyuta - Jimbo la Musoma Vijijini

    ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023 Tarehe ya Harambee: Jumamosi, 23.12.2023 Saa 3 asubuhi Mahali: Etaro Sekondari Kijijini Etaro Akaunti ya Shule: Benki: NMB Musoma Akaunti Na: 30301200341 Jina la Akaunti: Etaro Sekondari...
  5. Mzazi akikokotana na mwanafunzi mlevi alietoka kuhitimisha mitihani ya sekondari

    https://vimeo.com/896717216?share=copy Haya haya Mtoto kajipongeza baada ya kumaliza mitihani yake. Tukio hili limetokea huko kwa majirani 254. Mkanye mwanao.
  6. A

    DOKEZO Mradi wa Mabweni ya Wasichana Sekondari ya Langiro umetelekezwa

    Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike hususan wale wanaotoka vijiji vya mbali na shule...... Mh DED MBINGA na DC kamilisha hostel hizi...
  7. Waziri Mhagama awapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kwa kuwatia moyo waathirika wa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
  8. Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

  9. Mnamjua kakakuona wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda?

    1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4. 2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya ndani huwa hayafayi kabisa na tangu aajiriwe kajaribu mwaka Jana tu mwishoni baada ya taarifa zake...
  10. Uhuru na Kazi - Dhamira ya Kijiji cha Muhoji Kufungua Sekondari Yake Mwakani Iko Pale Pale

    UHURU NA KAZI - DHAMIRA YA KIJIJI CHA MUHOJI KUFUNGUA SEKONDARI YAKE MWAKANI IKO PALE PALE Wananchi wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema wameamua kujenga Sekondari yao (Muhoji Sekondari) na dhamira ya kuifungua shule hiyo Januari 2024 iko pale pale. Ujenzi wa awali unaokamilishwa ni: *Vyumba...
  11. Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  12. K

    DOKEZO Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  13. Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  14. Nini kifanyike kutokomeza mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo? Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
  15. Ni zaidi ya miaka 20 sasa somo la Hisabati linakuwa la mwisho katika ufaulu shule za msingi na sekondari. Nani alaumiwe?

    Habari! Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu. Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha. Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi? Setikali imeshindwa...
  16. N

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  17. Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  18. Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  19. Sitasahahu hili tukio nilivyokuwa shule ya sekondari

    Nilisoma shule ya sekondari ya bweni wavulana tu. Wasichana na baadhi ya wavulana day! Karibu na bwalo la chakula kulikuwa na duka la shule! Sasa enzi hizo mimi nilikuwa miongoni mwa vijana masharobaro ambao mbele ya wasichana warembo wa day kuonekana unakula ugali maharagwe ilikuwa ni aibu...
  20. Wazo kwa Mwalimu X shule ya Sekondari Nyiendo Wilaya ya Bunda

    1.Tunajua unajua kucheza na saikolojia za watu Kwa kupiga piga picha na wanasiasa na viongozi wa serikali ili utishe walimu na mkuu wako wa shule kwamba upo karibu na viongozi wakubwa wa serikali na chama.Yaani Huwa ukiona kiongozi wa serikali wazo lako kuu la kwanza ni kumuomba kupiga picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…