Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
Naam, habari zenu wanajukwaa.
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, ni hivi kumekuwa na biashara ya ukahaba ambayo imekuwa iliendelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya PAUL MAKONDA iliyopo wilaya ya Kigamboni, kata ya Kigamboni mtaa wa Chagani kwa zaidi ya miaka mingi...
Kwema Wakuu,
Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old Bagamoyo Road) kituo kimoja kabla ya Clouds.
Sasa wanafunzi hawa waliomaliza form 4 ili wakabidhiwe...
Kipindi ambacho watoto wanatoka shuleni wakiwa katika mabasi yao kuelekea nyumbani tunawatengenezea mfumo wa kuwaweka bize kuangalia katuni au sinema zinazowafurahisha wakati huo zinawapa maadili ya msingi kabisa katika Maisha yao, pia kuwaonesha madhara ya baadhi ya vitendo ambavyo vinaleta...
Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti.
Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
MBUNGE DANIEL BARAN SILLO AKABIDHI MASHINE ZA KUCHAPISHA MITIHANI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti) Mhe. Daniel Sillo ametimiza ahadi yake ya kukabidhi mashine za kuchapisha katika Shule za Sekondari Maganjwa na Arisaayo ili kusaidia...
Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa...
Katika umri wa miaka 14, Kairan Quazi amekuwa mhandisi wa programu katika kampuni ya Elon Musk SpaceX.
"Sina wasiwasi juu ya uchovu," asema, "kwa sababu haya ni mapenzi yangu. Sio kitu ambacho mtu amenilazimisha kufanya."
Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya...
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA MAJI KUHUSU VISIMA VYA MAJI SHULE ZA SEKONDARI MOMBA
"Tarehe 12 Juni, 2023 niliuliza swali la nyongeza Bungeni kuhusu changamoto tumeipata kwenye Jimbo la Momba kuhusiana na Maji. Wanafunzi katika Shule mbili tofauti wamepoteza maisha, Shule ya...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China.
Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi.
Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume.
Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi.
kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?
Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
Nawasalimu wanachama wa jukwaa hili. Niombe kwenu ushauri kuhusu walimu waliojiendeleza wa shule za msingi na sekondari.
Kuna ndugu yangu amenisimulia kuhusu kutopandishwa cheo/daraja kwa walimu waliopanda cheo kwa mara ya mwisho mwaka 2019 na walipaswa kupanda tena mwaka huu 2023 Kwa mujibu wa...
MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA
* Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374
* Jimbo lina Sekondari za Kata 25 na 2 za Binafsi. Kwa sasa ujenzi wa sekondari mpya 4 unaendelea kwenye Vijiji vya Nyasaungu...
Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo.
Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu
Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.
Ninaomba wanajukwaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.