sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Ubovu wa sera na mitaala ya elimu 2023 - kurudisha ufundi sekondari ni kukosa dira na mipango

    Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga. Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
  2. Stephano Mgendanyi

    Tsh. Milioni 573 Zatolewa na Serikali Ujenzi wa Wanyere Sekondari Jimbo la Musoma Vijijini

    SERIKALI YATOA MCHANGO MKUBWA WA TSH MILIONI 573 KWENYE UJENZI WA WANYERE SEKONDARI Jimbo la Musoma Vijijini laendelea kutatua matatizo yanayowakabili wanafunzi wanaosoma kwenye Sekondari za Kata za Jimboni humo. Matatizo makuu yanayowakabili ni: Umbali mrefu wa kutembea kwenda masomoni...
  3. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Milioni 550 Zakamilisha Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Milioni 550 Kujenga Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi ina...
  5. Stephano Mgendanyi

    Kijiji cha Nyasaungu Chadhamiria kufungua Sekondari yake Januari 2024

    KIJIJI CHA NYASAUNGU CHADHAMIRIA KUFUNGUA SEKONDARI YAKE JANUARI 2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ametembelea Kijiji cha Nyasaungu, Kata ya Ifulifu kwa lengo la kutathmini utekelezaji wa miradi yao ya maendeleo. Miradi inayotekelezwa Kijijini hapo ni ya: Ujenzi...
  6. S

    SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  7. Binadamu Mtakatifu

    Nashauri kuwe na somo la Basic Computing shuleni hasa sekondari

    Hili wazo nilikuwa nalo kitambo tu ila nimepitapita humu nimekutana na rasimu kiukweli sijaisoma ila kama hili wazo ambalo nataka kulitoa hapa lipo basi wamecheza kama pele CCM DAIMA MAFISADI TUWATIMUE (Kibwagizo) Somo hili ningeshauri lianzie form one upto form four na Advance Katika miaka...
  8. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  9. Communist

    NHIF Na Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Bima kwa Wanafunzi Overview NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania. Students with NHIF...
  10. Victor Mlaki

    Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  11. Stephano Mgendanyi

    Madibira Sekondari Wapewa Vifaa vya TEHAMA na Mbunge UWT Mbeya

    MHE. BAHATI NDINGO AIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA NA SARUJI MADIBIRA SEKONDARI Mbunge wa Viti Maalum CCM (UWT) Mkoa wa Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo na Mwazilishi wa Bahati Ndingo Foundation & Jamii na Maadili Kampeni mnamo tarehe 22 Aprili, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha...
  12. Stephano Mgendanyi

    Balozi Pindi Chana Akabidhi Mabati 144 Yakobi Sekondari

    BALOZI PINDI CHANA AKABIDHI MABATI 144 SHULE YA SEKONDARI YA YAKOBI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekabidhi Mabati 144 katika Shule ya Yakobi Sekondari Mkoani Njombe. Mhe. Pindi Chana amewaasa wanafunzi wa Shule ya Yakobi Sekondari kusoma kwa bidii...
  13. Stephano Mgendanyi

    Sekondari za Kata Zaendelea Kujenga Maabara Masomo ya Sayansi

    SEKONDARI ZA KATA ZAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina Sekondari za Kata 25 na za Binafsi 2. Jimbo hili limeamua kujenga Maabara 3 za Masomo ya Sayansi kwenye kila Sekondari ya Kata. Maabara hizo ni za Physics, Chemistry & Biology...
  14. Roving Journalist

    DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  15. benzemah

    Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  16. B

    23% tu ya wanafunzi ndiyo wanamudu lugha ya kiingereza kidato cha kwanza sekondari

    Mwanza, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa darasa la kwanza na darasa la tatu shule ya msingi wawe mahiri ktk masomo yao huku vigezo vya lazima...
  17. conductor

    Ujasiri unaanzia shuleni (sekondari, vyuoni)

    Mchawi wa kwanza kumtafuta na kumuua ni yule aliyetufundisha WOGA, aliyefanikisha kuturubuni kuacha kugoma mashuleni na vyuoni kama njia ya kuonyesha isia zetu na nguvu ya kujenga HOJA. Vyuo vyetu kufunikwa na wanasiasa katika kuweka viongoz wao kwenye vyeo vya hatua ya kichuo, lakini pia...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya na Wakuu wa Shule za Sekondari Wanena Kuhusu Umuhimu wa Mfuko wa Jimbo

    MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. *Manunuzi yalifanywa na...
  19. MK254

    Wagner waanza kutafuta wapiganaji kwenye shule za sekondari, wamefyekwa sana

    Na wataendelea kufagiwa na kufyekwa.... The Wagner Group is now resorting to hiring its fighters through recruitment hubs set up at sports centers across Russia, while representatives are targeting high school students, the British Ministry of Defense said Monday. In its latest assessment of...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai Aahidi Kutatua Changamoto ya Ujenzi wa Bweni Shule ya Sekondari Mkonoo

    ZAYTUN SWAI AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA BWENI SHULE YA SEKONDARI YA MKONOO Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Arusha Zaytun Swai, katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 alitembelea Shule ya Sekondari Mkonoo Kata ya Terat Arusha jiji na...
Back
Top Bottom