Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina jumla ya Sekondari 27:
Shule 25 za Kata/Serikali
Shule 2 za Binafsi (SDA & KATOLIKI)
UPUNGUFU WA MIUNDOMBINU
Tunaendelea na ujenzi na uboreshaji wa miundombimu iliyopungufu kwenye Sekondari zetu za Kata...
UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KIKONGO, KIBAHA VIJIJINI-PWANI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Mhe. Hawa Mchafu akikagua Miundombinu ya Shule ya Sekondari Kikongo iliyopo Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani ili kujiridhisha na Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025...
Kanisa la Anglican Tanzania ambao ndio wamiliki wa shule ya Sekondari Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda mkoani Mara fanyeni uchunguzi wa kina kuhusu shule yenu.
Kwanza ni tatizo la uongozi, mkuu wa shule kwa sasa ni binti mdogo sana ambaye bado ana mihemko sana. 95%ya walimu hawampendi ila...
UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI
UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI.
Mnamo mwezi Januari 09 2022 Wananchi wa Kijiji cha Sekouture wakiongozwa na Viongozi wao Walifanya hafla ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF).
Leo Jumatatu,
📆02 Januari 2023
📍Skuli ya Sekondari...
Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
Ndg zangu habari za leo.
Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule. Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni.
Swali la kizushi.
Ina nini unique wanaojua wanijuze
Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi.
Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu.
Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini.
Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
Tatizo kubwa linalosumbua nchi yetu ni viongozi kuamini wanahakili nyingi kuliko wasio viongozi, awamu hii ya sita imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye miradi ya shule sekondari bila kufanya tathmini kuwa je bado kuna uhitaji mkubwa wa vyumba hivyo? Mbaya zaidi fedha inayopelekea huko ni ya...
Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023.
Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
Wakuu Msaada.
Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo.
Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali...
Habari watanzania!
Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
Mataifa mbalimbali duniani yamekuwa yakifanya jitihada za kuhakikisha kwamba kila Taifa linalinda na kukuza utamaduni na maadili yake kwa lengo la kudumisha amani, mshikamano, umoja na maendeleo katika nchi husika.
Hata hivyo, kutokana na maendeleo makubwa ya Sayansi na Teknolojia yaliyopelekea...
Nawasalimu Kwa jina la JMT.
Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa.
Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo.
Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel.....
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa,
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.