sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mfumo wa Data Management kwa shule za msingi na sekondari

    .
  2. E

    Historia ya utumwa ifutwe msingi na sekondari

    Ukienda katika jamii zetu hata watoto wadogo ambao hawajui maisha yanaendaje wanaamini mzungu ni mtu bora kuliko mtu mweusi. Nimejiuliza sana dhana hizi zinatokana na nini lakini nimekuja kubaini kuwa dhana hizi walitujengea wakoloni enzi za ukoloni. waafrika walichukuliwa kama tabaka la chini...
  3. T

    Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  4. Nafaka

    Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  5. BigTall

    Mwanza: Wanafunzi watoro Shule za Msingi (19,133), Sekondari (7,594)

    Serikali Jijini Mwanza inatarajia kuanza zoezi la kuwaondoa watoto wanaoishi mitaani ambao wamekithiri hususani katikati ya Jiji kuhakikisha wanarejea katika familia zao na kupata haki yao ya msingi ya kurejea shule. Zaidi ya asilimia 90 ya watoto walio mitaani Jijini Mwanza wana umri wa kwenda...
  6. peno hasegawa

    Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  7. Action and Reaction

    Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

    Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli? Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani Unaruhu simu...
  8. Stephano Mgendanyi

    Aliyoyasema Rais Samia alipokuwa kwenye ziara maalum katika shule ya Sekondari Benjamin William Mkapa

    ALIYOYASEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOKUWA KWENYE ZIARA MAALUM KATIKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, DAR ES SALAAM. MACHI 7, 2022. Nichukue nafasi hii kuwashukuru uongozi wa Mkoa, Wizara na Shule kwa shughuli ya kunishtukiza...
  9. JanguKamaJangu

    Wanafunzi wa sekondari kutoruhusiwa kuwa na simu shuleni ni sahihi?

    Nimesoma uzi wa wanafunzi flani huko Singida wampata msala wa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba la mwalimu huyo baada ya kumpa adhabu mwanafunzi mmoja aliyekutwa na simu. Mwanafunsi huyo ni wa sekondari, binafsi hata mimi siungi mkono...
  10. I

    Hivi tulivyosoma Slave Trade tulikuwa tunaelewa kweli, au ilimradi liende tu?

    Tumesoma Sana slave trade na moja ya vitu vinavyo leta slavery and na sla e trade low salary as compared to many tasks or duties handled to you. Point yangu ya msingi Ni kwamba hivi inakuwaje mtu ana degree ya ualimu anaenda kufundisha hizi English medium analipwa laki mbili kwa mwezi na bado...
  11. John Haramba

    Serikali kutoa ajira 7,000 kwa Walimu shule za msingi na Sekondari

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini. Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...
  12. gim

    Elimu ya sekondari na msingi ifutwe, madarasa yageuzwe vyuo vya ufundi

    Habarini za wakati huu wana jamvi, Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi. Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta...
  13. Rais2045

    Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  14. FRANCIS DA DON

    Siri ya ufaulu ya baadhi ya shule za sekondari hii hapa

    Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na zinatumika sana kwa shule binafsi zenye majina makubwa ili waendelee kupiga pesa ndefu. (Hii ni biashara...
  15. WENYELE

    Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  16. J

    Mkuu wa Wilaya Temeke akabidhiwa madarasa 157 ya Shule za Sekondari

    MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa katika Shule 24 za Sekondari iliyofanyika leo Januari 03, 2022 katika Shule mpya ya Sekondari Dovya...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
  18. beth

    Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  19. kmbwembwe

    Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

    Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma. Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
  20. MSEZA MKULU

    Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
Back
Top Bottom