sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  2. ZIMBANGA CHIKUNDIKUNDI

    SoC02 Salama ya mabinti shule za sekondari katika ‘punjabi’

    Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
  3. E

    Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  4. Mmea Jr

    hivi kwanini njia (under ground ways ) cha chini kwa chini za shule sekondari mkwawa (kwasasa mkwawa college of education ,muce ) zilifungwa ??.

    habari zenu wakuu , moja kwa moja kwenye mada , siku ya jumapili nilipata nafasi ya kumtembelea mzee mmoja mstaafu maarufu sana hapa Iringa . Mzee huyu yeye alikuwa mwalimu ambaye enzi za utumishi wake alipata nafasi ya kufundisha katika shule mbali mbali hapa Iringa kama vile kleruu , mawelewe...
  5. Rahimu kiwani

    Inawezekana mwanaume kumsomesha mpenzi wako ambaye ulisoma naye sekondari ikiwa wewe ulifeli yeye akafaulu?

    Nimeamua kuwaletea huu uzi wana jamii wenzangu, hebu na tuanze Katika maisha ya mwanadamu ya kila siku tunayashuhudia mengi sana hususani pale unapoanza kubale ndipo season inaanza. Ukikumbuka ulipokuwa sekondari ulianza kukutana na watu tofauti tofauti kutoka maeneo au vijiji fulani fulani...
  6. benzemah

    Rais Samia: Madarasa 8000+ ya Sekondari kujengwa kabla ya 2023

    Akiendelea na ziara mkoani Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, pamoja na Wakuu wa Wilaya kuanza kujipanga kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 8,000 kwa ajili ya shule za Sekondari ambayo yatahitajika...
  7. Y

    SoC02 Kilimo na Ufugaji yawe masomo ya lazima shule za Msingi na Sekondari

    Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi. Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi. Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili. 1. Hawana taaluma ya...
  8. L

    Shule ya sekondari ya Suzhou yazindua programu ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa soka

    Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
  9. system hacker

    Anatafuta shule ya kukodi iwe ya Msingi ama Sekondari DSM, Pwani au Morogoro

    Ni ndugu yangu. Anatafuta shule ya kukodi. Iwe Msingi ama Sekondari kwenye mkoa wa DSM, Pwani ama Morogoro. Kwa yeyote anayeweza kusaidia kufanikisha hili anakaribishwa sana. Mengine watazungumza wenyewe wakikutana. Tumia hii email: dodomadaressalaam@gmail.com Tusaidiane ku push hili suala...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya wilaya Uyui-Tabora, Makinikeni hii sio sawa

    Idara ya utumishi na Tsc Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo na hawafanyi kazi KWA takribani mwaka mzima. Watumishi hao wanalipwa mishahara bila kufanya kazi...
  11. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  12. JanguKamaJangu

    Kiswahili sasa Lugha rasmi ya Uganda, kufundishwa Shule za Msingi, Sekondari

    Bazara la Mawaziri la Uganda limeidhinisha matumizi ya Kiswahili kutumika kuwa lugha rasmi nchini humo pamoja na kuwa somo la lazima katika Shule za Msingi na Sekondari. Maamuzi hayo yamefikiwa ili kutekeleza mapendekezo ya Azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, waliopitisha...
  13. Roving Journalist

    Bweni la Shule ya Sekondari ya Bwiru lateketea kwa moto, Wanafunzi zaidi ya 70 wanusurika kifo

    Zaidi ya wanafunzi 70 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru iliyopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2022 na kuunguza vitanda, magodoro, nguo pamoja na vifaa vyao vya shule Moto...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Kila shule ya sekondari pawepo na angalau mwalimu 1 wa somo la Ufundi stadi

    Habari! Huu ni ushauri wangu wa mwisho kwa serikali. Yaani namaanisha hapa nimetumia akili zangu zote kuwaza namna ya kuondoa ujinga na umaskini katika jamii. Sasa % kubwa ya watoto wa darasa la saba wanajiunga kidato cha kwanza. Wengi huishika kidato cha 4 kwasababu mbalimbali. Miaka 4 ya...
  15. kmbwembwe

    Je, utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  16. K

    Walimu wa Shule ya Sekondari Ilala, kwanini mnauza notes kwa wanafunzi?

    Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure? Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili...
  17. Analogia Malenga

    Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

    ZAIDI ya walimu 50 wenye asili ya Kiafrika kwenye shule ya Sekondari ya The Agha Khan Mzizima wamegoma kuingia darasani kufundisha wanafunzi kwa kile walichodai kuwa uongozi wa shule hiyo umekuwa ukiwanyanyasa na kuwabagua kwa rangi. MwanaHALISI kupitia chanzo cha kuaminika kilipata taarifa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali irudishe Tsh 20,000/= Ada ya sekondari kwa mwaka

    Kwema Wakuu! Serikali inapaswa iirejeshe Ada kwa wanafunzi wanaosoma shule, nchi yetu bado hatujafikia nyakati za kutoa vitu bure, Shule ya Msingi ndio iwe Bure lakini sekondari, wanafunzi watoe pesa, Isiwe pesa kubwa Sana, iwe Tsh 20,000/= Kwa familia yenye watoto watano ni 100,000/= Kwa...
  19. A

    Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

    HABARI YA WANABODI? Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua. NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA ....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA) Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na...
  20. pantheraleo

    Dar: Vicky Kamata atoa Msaada kwa Shule ya Sekondari Mbwenitete, iliyopo Jimbo la Kawe, Wadau Waombwa kuendelea kusaidia

    Salaam Wakuu, Alfonce Peter Swai, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serikali ya Mbwenitete iliyopo Mbweni, Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam, ameomba Wadau wa Elimu kusaidia Shule kwani ina Ufaulu Mzuri pamoja na Changamoto zilizopo. Amesema Komputa ni Somo lipo kwenye Mtaala...
Back
Top Bottom