Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilitoa taarifa ya ajali ya gari iliyotokea tarehe 27.03.2026, majira ya saa 12:30 jioni, katika barabara ya Jojiro, na kusababisha majeruhi kwa madaktari sita wa Hospitali ya Rufaa Sekou-Toure ambapo Dkt. Avetha Masawe alikuwa mmoja wapo.
Mwezi huu wa...