A
Anonymous
Guest
Tunaamini kupitia jukwaa hili tutapata haki zetu.
Asilimia kubwa ya Watumishi wa Hospitali ya Sekou Toure ya jijini Mwanza tumekuwa tukidhulumiwa malipo ya Extra Duties ya mwezi wa 5&6 kila mwaka takribani mwaka wa 6 sasa.
Na mwaka jana tokea mwezi wa 4 hatukulipwa ambapo jumla imekuwa miezi 3 tumedhulumiwa kwa mwaka jana. Hii huwa ni miez ya mwisho ili mwaka wa fedha ukamilike. Tukiwauliza kila mwaka wanadai kifurushi kimebust bila kujali wala nini, Wakati wao Management team wanalipana miezi yote.
Nadhan wanaofanya kazi hospitali wanaelewa ugumu na jinsi tunavyopambana kazini halafu uishie kudhulumiwa haki yako.
Jamani inauma sana. Tunaomba mwaka huu wa fedha kabla haujaisha watulipe extra duties miez yote, wasitudhulumu tena maana ndo mwezi wa 5 huu na wa sita unafika. Tunaambuliaga dhuruma, tumechoka.
Wizara ya Afya na Serikali kwa ujumla tusaidieni.