Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana.
Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo.
Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu.
Mpaka sasa hatujui waliopiga...
Kwako waziri wa Ajira Yah: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira.
Kwako Waziri wa Ajira,
Natumai unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku.
Mh. waziri Lengo la kukuandikia barua hii ya wazi ni kukueleza changamoto zinazowakumba Watanzania wanaojaribu kufanya maombi ya kazi...
Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa?
Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?
Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi.
Sasa...
Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya.
Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti.
Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
Habari wakuu,
Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira.
Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
Wadau,
Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi.
Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM.
Kutokana na umakini...
Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine.
Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
Wanaita watu wengi Sana katika usaili hii nilifanikiwa kuifatilia ni fani ya ICT Officer (System Administrator) wanaitaji nafasi moja lakini wameita watu 752.
Vijana waliohudhuria pale wamezuiliwa kuingia kwenye usaili ni wengi sababu ya kuzuia mfano mwingine alikua anashiriki hizo interview...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda.
Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa.
Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam.
Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
Huu utaratibu wa kuwaambia watu kuomba ajira kisa tu wamesoma na wamemaliza ngazi zao elimu sio sawa, na umeshapitwa na wakati hapa nchini. Na uchumi hauna tena uwezo wa ku-accomodate majority ya walimu na hata kada za afya.
Njia pekee ambayo itaisaidia kwa asilimia kubwa utapeli, rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.