Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na huduma za kijamii nchini.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni, Dkt. Nchimbi alisema utafiti wa kina...