Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview ziondolewe kabisa.
Bado msimamo wangu mimi mwalimu SADATY H. DAUDI ni kwamba tusiingize siasa...
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu.
Akizungumza katika ziara yake ya kampeni ya kuandikisha na kusajili watoto walio nje ya mfumo rasmi...
"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka ikiangazia maendeleo na umuhimu wa Elimu katika kuleta maendeleo, usawa na amani.
Mwaka huu 2025...
Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ni mwaka 2004/2005 waziri mwenye mamlaka alibadilisha mtaala ambapo moja ya vitu vya hovyo vitakavyobaki kama simulizi za muda mrefu ni kuunganisha somo la fizikiz na kemia na kupata somo la physics with chemistry pia kufuta somo la agricultre na mengine...
Toka mwaka jana Serikali iliahidi kutoa ajira kadhaa kwenye sekta ya afya na elimu, kati ya mwezi wa kwanza au wa pili na haijawa, katika bunge la bajeti waziri akaahidi kabla ya June 31 ajira zitakuwa zimetolewa ila hadi leo mwaka mwingine wa fedha umeanza bado kimya.
Je, kama hawakuwa na...
Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
NURU YA TANZANIA MIAKA KUMI IJAYO SEKTA YA ELIMU
'' Elimu ni ufunguo wa maisha '', huu ni wimbo mkubwa Kwa wanafunzi unaonesha umuhimu wa Elimu katika jamii. Elimu ni ujuzi unaomwezesha mtu yeyote kufanya jambo Kwa ufanisi. Tanzania tumejaaliwa kuwa na vituo mbalimbali vinavyotoa elimu kwa...
Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo hapo baadae juu ya nyanja ya elimu hapa nchini Tanzania
Elimu sahihi na bora itafanya kuinua na kuchochea mambo mbalimbali hapa nchini kwani nchi itazalisha wasomi wengi na wenye weledi wa hali ya jui endapo mipango madhubuti itachukuliwa hatua
Ili kuujenga...
1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5
2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe na msaada tena unakuja kuanza kazi unamajukumu mengi umri pay umesha kuacha
3 mtoto anapo fika...
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
Katika kutafuta Tanzania yenye maendeleo endelevu na ustawi wa jamii, sekta ya elimu imebeba jukumu kubwa na la msingi. Elimu ni ufunguo wa maendeleo na mabadiliko chanya katika jamii yoyote ile.
Katika miaka mitano(5), kumi(10), kumi na tano(15) hadi ishirini na tano(25) iajayo, ni muhimu kuwa...
Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine kukatisha masomo yao kabla ya muda sahihi wa kumaliza shule na kisingizio kimekua ni “ hawaoni...
FAIDA NA ATHARI ZA KUONGEZEKA KWA WASOMI WA VYUO VIKUU NCHINI TANZANIA BILA FURSA ZA AJIRA.
TANZANIA TUITAKAYO KWA MIAKA 5 HADI 25 IJAYO.
ANDIKO HILI LIMEANDALIWA NAMI: MARTIN BERNADINI BENEDICT.
+255 765 538 929/+255 785 641 235
UTANGULIZI
Nchini Tanzania, idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu...
MITAALA BORA NI CHANZO CHA KUFUTA UPUNGUFU WA SOKO LA AJIRA TANZANIA
Habari za mdq huu ndugu zangu, Kama kichwa kinavyojielezq Mimi NI mwalimu wa shule ya msingi ambae nimefundisha mikoa tofauti tofauti nilichogundua katika utendaji wangu wa kazi ni kwamba Taasisi ya Elimu Tanzania imekuwa...
Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:-
1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
Ili kuboresha sekta ya Elimu Tanzania na kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji mashuleni hususani katika kipindi hiki cha mabadiliko ya sayansi na teknolojia na matumizi ya vifaa vya TEHAMA ni vyema Serikali kuhakikisha inaboresha mazingira ya kimtandao mashuleni
Uwepo wa huduma ya...
Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika:
1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia
- Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni.
- Kuweka vituo vya...
Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.