sekta ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Sekta ya elimu nchini China yapata maendeleo makubwa

    Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya taifa inayoangukia...
  2. Lanlady

    Sekta ya elimu kuna uonevu sana!

    Kuna mwalimu anaanza na ngazi ya certificate na baadae anaenda kujiendeleza kwa ngazi tofauti tofauti. Miongoni mwa kozi anazosomea ni stashahada au shahada za utaalam tofauti, mfano ukaguzi, uongozi, IT nk. Na wengi hujisomesha wao wenyewe kwa gharama zao. Lakini katika mazingira ya kazi...
  3. N

    Rais Samia anaweka historia mpya katika Sekta ya Elimu

    Rais Samia anaenda kuweka historia nyingine mpya katika sekta ya elimu licha ya maboresho makubwa yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2021/22 kwa sekta ya Elimu, tayari serikali imepanga kutumia kiasi cha takribani Trilioni 2.78 katika miradi ya maendeleo ya Elimu. pia Kupitia mradi wa...
  4. Ri ri

    SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
  5. B

    SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  6. I

    Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  7. La3

    SoC02 Elimu ya msingi ni mhimili muhimu katika Sekta ya Elimu

    Elimu ya msingi ni eneo nyeti sana katika safari ya maisha ya mwanafunzi au mtu yeyote. Ni katika elimu ya msingi tu ndipo mtu anafundishwa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ambayo ni mambo muhimu mno kwenye maisha. Kwa hiyo ni muhimu sana kuwekeza kwenye elimu ya msingi zaidi kwa kuwa huku...
  8. N

    SoC02 Maendeleo katika Sekta ya Elimu Tanzania

    Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
  9. Ahmed Saidi

    Usahili wa Tutorial Assistants katika sekta ya Elimu

    Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu. Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant kwa sekta ya Elimu. Kama ulishawahi kufanya interview utumishi na ukafaulu au vinginevyo basi...
  10. DolphinT

    Utafiti katika sekta ya elimu ni muhimu kwa ajili ya kuboresha elimu yetu

    Elimu ni mkusanyiko au muunganiko wa stadi, maarifa na ujuzi anakua nao mtu baada ya kuupata kwa njia mbali mbali, rasmi na zisizo rasmi. Katika elimu yetu ya Tanzania ambayo ina mfumo wa elimu ya awali mpaka chuo kikuu imegawanyika katika miaka mbali mbali ambayo mwanafunzi anatakiwa kusoma ili...
  11. Elimu story

    SoC01 Uandaaji wa mazingira tamanishi na uboreshaji wa Sekta ya Elimu kwa tija ya maendeleo ya taifa katika sekta zote

    Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili. Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa. Utangulizi. Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni...
  12. S

    Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  13. M

    SoC01 Mchango wa Sekta ya Elimu katika maendeleo

    Sekta ya elimu ni mojawapo ya sekta nyeti sana katika maendeleo ya kila taifa hapa ulimwenguni ikiwemo Taifa la Tanzania. Hili lipo wazi na hakuna wa kupinga kwani zipo ithibati nyingi dhahiri zinazobainisha suala hilo. Katika nyanja zote za uzalishaji mali kama vile ufugaji, kilimo,biashara...
  14. S

    CCM: Serikali inatoa kipaumbele sekta ya elimu

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Akizungumza Alhamisi 24 Juni 2021 kupitia jukwaa la walimu waliofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya CCM Dodoma, Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Ndg. Shaka Hamdu Shaka, amesema Serikali ya CCM inatambua na kuthamini mchango mkubwa unatolewa na...
Back
Top Bottom