Dkt. Gwajima D
Bado kilimo kinaonekana kama kamali machoni mwa vijana wa mjini
Bado kilimo kinaoekana primitive katika fikra za vijana wa mjini.
Lakini naamini kilimo hichi ndio mkombozi wao wa kukosa ajira. Bado tuna ardhi kubwa sana nyingine za wanachi na nyingine za serikali zilizo tengwa...
Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi.
Ni vizuri kutumia...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo.
Waziri Bashe ameeleza hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Ushetu akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga ambapo...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia:
1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
TANZANIA NINAYOITAMANI BAADA YA MIAKA MITANO
Kila kitu katika hii dunia lazima kupitia nyakati tatu, wakati uliopita ambao unakuwa kama sehemu ya kurejelea yote tuliofanya nyuma, wakati uliopo ambao kwa asilimia nyingi hujengwa na wakati uliopita na wakati ujao ambao nao hujengwa na kuwa imara...
Sekta ya ushonaji wa nguo inafanya vizuri sana China karibu 50% ya uzalishaji wa nguo unafanyika China kupitia viwanda vidogo vidogo.
Serikali na yenyewe ingesaidia sana kupunguza tatizo la ajira kama ingelianzisha somo la ushonaji Kwa elimu ya sekondari. Sekta ya ushonaji nguo ina faida...
Kilimo kimekuwa uti wa mgongo wa taifa la Tanzania kwani kwa asilimia kubwa nchi yetu inategemea kilimo ili kuzalisha malghafi mbalimbali kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa pamoja na kulisha taifa zima. Tangu tupate uhuru kilimo kimekuwa kikichangia katika pato la taifa na ukuaji wa kiuchumi kwa...
Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
Ameipatia wakala wa...
Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu katika kulinda mali bali pia katika kuhakikisha usalama wa mimea, wanyama na wafanyakazi kwenye...
Utangulizi
Kilimo na uzalishaji wa bidhaa za mifugo ni sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, ikiwapatia kipato watu wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Hata hivyo, kutokuwa na viwango madhubuti vinavyosimamia sekta hii kumekuwa na changamoto nyingi ambazo zinazuia uwezo wa...
UTANGULIZI.
kilimo ni shughuli inayojumuisha ufugaji na uzalishaji wa mazao. kilimo ni sekta muhimu sana katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Tunaweza kusema kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba asilimia kubwa(zaidi ya 90%) ya watanzania...
Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira.
Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!
Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri...
Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65 za ajira kwa vijana ambayo ni takribani sawa na watu saba kwenye kila watu kumi wanaoajiriwa...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
Na. Mwandishi Wetu.
Wataalam sekta ya kilimo kama wataendelea kuwatembelea wakulima na kutoa elimu kwa wakulima watasaidia kuiinua Sekta ya kilimo Nchini.
Akizungumzia juu ya teknolojia katika sekta ya kilimo nchini Mkurugenzi Mtendendaji wa Chama cha Wafanya Biashara Wenye viwanda na Kilimo...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya kilimo.
Akikabidhi pikipiki hizo, leo Machi 7, 2023, Haniu amewagiza wataalamu hao wa kilimo kwenda...
President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision.
The President said Tanzania has developed a national...