Kwa ajili ya WATOTO wao wenye nguvu na wachawi sana kuelewa SEKTA YA KUPAMBANA (UJAMAA VS JAMAA)… Taasisi za UMOJA WA MATAIFA UN {ILO, UNHCR, FAO} ina mpango wa kuleta matrekta 70,000 na utengenezaji wa matrekta zaidi ya 10,000 NCHINI TANZANIA kwa ajili ya kusaidia shughuli za kilimo.
Tunaomba...
Kilimo ni sayansi inayohusisha kulima mimea na mifugo. Kilimo ni moja kati ya shughuli za kwanza kabisa kufanywa na binadamu katika harakati za kujitafutia chakula.
Mazao ya kilimo yanaweza kugawanywa katika makundi ya vyakula, nyuzinyuzi, mafuta na malighafi kwa ajili ya shughuli za viwanda...
Utangulizi
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma katika sekta ya kilomo na kudhohofisha usalama wa chakula.
Wananchi ni nguzo muhimu sana katika maeeleo...
Utangulizi
Kilimo ni kitendo cha kuzalisha mazao shambani. Ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu zinazomsaidia kupata mazao kwaajili ya chakula na biashara ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Nchini Tanzania kilimo ni miongoni mwa shughuli muhimu na inayofanywa na watu wengi nchini, hii ni...
Serikali ya China imetangaza hivi karibuni kuwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu itaondoa kabisa ushuru kwenye asilimia 98 ya bidhaa za kilimo kutoka nchi 16 zenye mapato ya chini, tisa ya nchi hizo zikiwa ni nchi za Afrika. Hatua hii ni mwendelezo wa hatua kama hiyo iliyochukuliwa kwenye...
Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea lakini umehakikisha mambo haya yanatokea"
Rais Samia Suluhu umezindua Mfumo wa Utoaji wa Ruzuku ya...
UTANGULIZI
Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
Fadhili Mpunji
Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:-
Sekta ya Afya
Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
Huu ni ushauri tu,
Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.