Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal...
Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani
Aidha amezitaka...
Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa.
Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia.
Tumetumia gharama kufanya Filamu...
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?
Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa .
Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na...
DC JOKATE AHAMIA SEKTA YA UTALII TEMEKE.
Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini hali inayofanya baadhi ya wananchi kutotambua vivutio vinavyopatikana nndani ya Halmashauri ya manispaa hiyo.
Kwa kuliona...
Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour...
Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa.
lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo.
Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa...
Mrisho Gambo akichangia Bungeni kwenye Bajeti iliyopendekezwa, ameielezea kutotoa ahueni yoyote kwenye sekta ya utalii iliyoyumba kutokana changamoto za ugonjwa wa Covid.
Amesema mchango wa utalii umeshuka kutoka asilimia 17.5 mpaka asilimia 10.7 na mapato yamepungua kutoka bilioni 584 mpaka...
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amewasikisha maombi matatu serikalini alipokuwa akichangia bajeti ya wizara ya mali asili na utalii bungeni ambazo ni:
1. Ameomba serikali kufikiria upya ombi la wananchi wa jimbo la Vunjo na majimbo mengine ya mkoa wa Kilimanjaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.