sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Rais Mwinyi: Sekta ya Ujenzi Imetekeleza Miradi Mingi Nchini

    RAIS MWINYI: SEKTA YA UJENZI IMETEKELEZA MIRADI MINGI NCHINI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Sekta ya Ujenzi ni miongoni mwa Sekta iliofanya vizuri katika Utekelezaji wa Majukumu yake kwa Kazi nzuri ya Ujenzi wa Madaraja...
  2. Rorscharch

    Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
  3. Roving Journalist

    Mkutano wa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji, Desemba 18, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam. Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
  4. B

    Serikali kuendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya baiashara iwe yenye ushindani, viwango vya kimataifa

    Na Mwandishi Wetu. WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya Biashara iwe na ushindani wenye viwango vya Kitaifa na Kimataifa. Waziri Jafo ameyasema hayo...
  5. Yoda

    Cuba wana kingine kipi cha maana zaidi ya sekta bora ya Afya?

    Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba. Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo...
  6. M

    Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
  7. B M F ICONIC

    Changamoto, malalamiko, kero na ukombozi wa Sekta ya Afya Tanzania

    Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
  8. Roving Journalist

    Dk. Suleiman Serera: Serikali haitamfumbia macho atakayechezea Sekta ya Mkonge

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta hiyo mtambuka ni ustawi wa maisha ya Watanzania wengi wa kaliba na kada tofauti. Dk. Serera amesema...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Tutaendelea Kushirikiana na Sekta ya Afya

    WAZIRI MHAGAMA: TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA AFYA Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama Novemba 13, 2024 amekutana na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Afya Duniani (World Health Organization- WHO) Dkt. Charles Sagoe-Moses kwa mara ya kwanza kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali...
  10. Rorscharch

    Usimshauri ndugu au rafiki asomee uandishi wa habari: ni sekta ambayo inaenda kufa na atateseka sana

    Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!! Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
  11. FRANCIS DA DON

    Napendekeza watumishi wote wa umma kwenye sekta za ‘Ulaji’ wafungiwe bodycam wawapo kazini

    Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi katika utendaji kazi na kupunguza rushwa.
  12. M

    Nimechoka kuajiriwa sekta binafsi, vikampuni uchwara

    Naombeni ushauri wadau waliofanikiwa baada ya kuwaza kama mimi. Mimi ni muajiliwa(kibarua) kampuni flani kwa sababu sina mkataba wowote sasa imefika muda kazi nimeifanya kwa muda mrefu sana nimechoka hivyo nataka nimwambie HR wa kampuni anipe barua yangu ya kuachishwa kazi ili niipeleke NSSF...
  13. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yazidi Kutoa Fursa Wataalamu Sekta ya Ujenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa mwaka wa...
  14. M

    Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

    Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu. Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu. Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
  15. T

    Mkoa uliong'aa (THE SHINY BUKOBA) Leo hii Umekuwa Mkoa Mweusi (THE DARK BUKOBA) kwenye kila sekta ya Maendeleo;Nini Kimetokea kwa Nshomile Hawa

    Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha...
  16. Mpekuzi Tanzania

    Je mawaziri kufungua miradi isiyo ya sekta yao ni ubunifu au kasi ya awamu ya sita?

    Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni 1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
  17. Thabit Madai

    Rais Dkt. Mwinyi awaita Wawekezaji Sekta ya Utalii

    NA THABIT MADAI, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba, Serikali itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji pamoja na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato, kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa motisha za...
  18. Zero Competition

    Ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi punguza majivuno

    Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya kuachishwa kazi iko mezani inakusubiri Jambo lingine ni kwamba ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi...
  19. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aipongeza Wizara ya Madini kwa Usimamizi Madhubuti wa Sekta

    RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA ⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT ● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya mikopo kwa wafanyabiashara wa dhahabu ●Mwaka 2023 madini yenye thamani zaidi Trilioni mbili yaliuzwa...
  20. Mwanongwa

    Rais Samia anaendelea kuiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Maendeleo ya Sekta ya Madini

    Oktoba 13, 2024, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita. Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa Rais Samia, ambaye ameendelea kuweka mbele maendeleo ya sekta muhimu...
Back
Top Bottom