Kumekuwa na hali ya kucheleweshewa kupata hela ya utafiti kwa ambao wamebahitika kufadhiliwa na wizara ya afya kwenye kusomea ubingwa na uzamili. Hii imeripotiwa na wanafunzi wa chuo fulani haswa cha serikali kudai hela zimechelewa kutoka ya utafiti ilihali kuna wengine wanamiezi miwili...
Hapa kuna maelezo kuhusu mbinu nne za kisayansi za kukuza sekta ya uvuvi pamoja na mifano ya kila moja:
1. Utafiti wa Mabadiliko ya Mazingira ya Bahari: Utafiti wa kisayansi unaweza kusaidia kuelewa jinsi mabadiliko ya mazingira ya bahari yanavyoathiri maisha ya samaki na mifumo ya ekolojia...
Tanzania ya Kijani inawezekana
Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira:
Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye rasilimali nyingi, maliasili na hifadhi nyingi za wanyama, misitu, maziwa na maeneo asili ambayo yote...
TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO.
Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya drones,vifaa vya kiotomatiki sensors na IoT, teknolojia ya satellite ,uvuvi wa mbali...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake.
Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kuanzia leo Mei 27, 2024...
BASHUNGWA AKAGUA MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake.
Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya...
Kuna changamoto kadhaa ambazo zinakabili sekta ya uvuvi nchini Tanzania. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na:
1. Uvuvi haramu: Uvuvi haramu umekuwa tatizo kubwa sana nchini Tanzania ambapo wavuvi hawafuati sheria na taratibu za uvuvi zilizowekwa. Hii husabisha upungufu wa samaki na kuathiri...
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
Utangulizi
Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
UTANGULIZI
Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na ya hali ya juu kabisa, Baadhi ya maoni au mapendekezo au marekebisho hayo ni pamoja na...
Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na kusubiri hesabu ingawa baada ya muda wanapigwa na kitu kizito kichwani.
Wengine wanawekeza kwenye kilimo...
Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini?
Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?
Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25:
1. Upungufu wa watumishi wa Afya
Changamoto:
Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu
Mikakati ya...
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao.
Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu.
Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.