sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Je, Soka linaweza kushirikiana vipi na Sekta ya Utalii ili kukuza utalii?

    SA Tourism ama Bodi ya Utalii ya Taifa la Afrika ya Kusini ilitangaza kuwa imepeleka proposal yake ya kutaka kudhamini moja ya timu kongwe iliyopo Jijini London, Uingereza. Fedha ambayo ilipigiwa hesabu ni dola milioni 52 za kimarekani katika mkataba ambao utakuwa ni wa miaka mitatu. Mkataba huo...
  2. The Burning Spear

    Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  3. L

    Tanzania na China zapigana jeki katika kukuza na kutangaza sekta zao za utalii

    Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili zikiwemo mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya...
  4. Jimz Group

    Jinsi Kamera za CCTV Zinavyoimarisha Usalama Katika Sekta ya Kilimo

    Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu katika kulinda mali bali pia katika kuhakikisha usalama wa mimea, wanyama na wafanyakazi kwenye...
  5. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  6. Selemani Sele

    Watanzania wengi tupo nyuma kwenye sekta ya magari

    Naam kwa majina naitwa Selemani Sele. Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model . Nitaleta ushahidi wa gari aina mbili maarufu tuone ambayo ni Toyota Glanza na Toyota Rumion. Toyota...
  7. mkarimani feki

    Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
  8. B

    Wanasiasa wengi hawajawekeza kwenye sekta ya Afya ndo maana wanaruhusu huu uhuni wa NHIF!

    Asalaam Aleykum. Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Je zuberi/kisesa express ndio tajiri zaidi kwenye sekta ya usafirishaji? Kwanini hajapandisha nauli?

    Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni...
  10. BARD AI

    Serikali yadai nusu ya walioenda COP28 wamejigharamia wengine wamegharamiwa na sekta binafsi

    Serikali imesema karibu nusu ya ujumbe wa Tanzania ulioshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), umegharamiwa na sekta binafsi. Ufafanuzi huo, umekuja baada ya juzi na jana kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu idadi kubwa ujumbe wa Tanzania...
  11. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Dugange: Viongozi Waelezeni Wananchi Mafanikio Sekta ya Afya

    Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini. Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
  12. R

    Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

    1. Hongera waliopata 2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA. Short of that napongeza hatua hii.
  13. The Burning Spear

    TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

    Hi Great thinkers. Kati ya Tasisi amabazo zinaitesa sekta binasfi ni TANESCO. Mi nafikiri wanatia fora kwa sasa. Ule ukiritimba wa TRA na BRELA wakasome, kwa sasa sekta binafsi zinateseka sana na mgawo wa umeme. Kiasi amabcho inakatisha tamaa hata kumvutia mwekezaji mpya. Magufuli alipokuja...
  14. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel: Viongozi wa Sekta ya Afya simamieni ubora wa Huduma za Afya Nchini

    Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia ubora wa huduma katika Hospitali na Vituo vya kutolea Huduma za afya na kuhakikisha wanawajengea uwezo watumishi ili kuepuka changamoto na uzembe unaofanywa na baadhi ya wataalamu wa afya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mnyeti: Rais Samia Amedhamiria Kufanya Mapinduzi Sekta ya Uvuvi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi. Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
  16. ChoiceVariable

    World Bank: Tanzania kinara wa Dunia upelekaji maji vijijini, yaongeza Dola Milioni 300

    https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19 Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo. Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
  17. benzemah

    Sekta ya Madini Kuchangia Pato la Taifa kwa Asilimia 10 Ifikapo Mwaka 2025

    Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini. - Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
  18. Roving Journalist

    Biteko: Ukuaji wa Sekta ya Madini kwa mwaka 2022 umekuwa asilimia 10.9 ukilinganishwa na ukuaji wa asilimia 9.4 mwaka 2021

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa sekta ya madini inaendelea kuongeza mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Dkt. Biteko amebainisha hayo leo Oktoba 25, 2023 akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Madini na Uwekezaji...
  19. benzemah

    Naibu Waziri Mollel asema Rais Samia amefanya uwekezaji mkubwa Sekta ya Afya

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini ili kuhakikisha afya za wananchi zinaimarika Dkt. Mollel amebainisha hayo wakati...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
Back
Top Bottom