Hii nchi ina vituko sijawahi kuona.
CCM inasumbua watu sana huku matawini.
As I speak, Nimeshangaa Nimekutana na wanafunzi wameagizwa wafuate vitambulisho vyao vya kura majumbani, wawapelekee walimu.
Nikawauliza nyie mmefikisha miaka 18? wakanyamaza. Nikawauliza tena mlijiandikisha na mkapewa...