Seneta wa Kericho, Aaron Cheruiyot, alisema:
"Wakati mmoja wetu (Mbunge wa Kasipul) alipopoteza maisha, tulikuwa tunapewa maelezo ya kila hatua, saa kwa saa, lakini hadi sasa, hatujajulishwa hata ni maafisa gani waliomfuata Albert Ojwang' kule Homa Bay.
===============
Kericho Senator Aaron...
"Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao, tunapaswa kuona haya... Tuchukulie kwa uzito kifo cha Albert Ojwang," Seneta Cheruiyot aliwaambia maseneta
=================
“The people did not vote us to lament like them, we should be embarrased,,, Let us be serious on the death of Albert...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.