sensa

Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.

View More On Wikipedia.org
  1. Monica Mgeni

    Anna Makinda: Maombi ya Ukarani wa sensa ni Bure

    Kauli ya mama Anna Makinda kamisaa wa sensa amesema Maombi ya Ukarani wa sensa Ni Bure na tumeishatoa mwongozo na watu wanaomba kuwa makarani wa Sensa kwa maendeleo ya Taifa letu Tanzania
  2. Uhuru24

    Hivi kuna aliyefanikiwa kutuma maombi ya sensa?

    Habari ya mchana wakuuu, Nauliza kuna mtu yeyote alifanikiwa kujaza hii fomu ya sensa? Alitumia njia ipi kama nyepesi, maana tunajaza lakini unapotaka kuituma ndio mauzauza yanakuja. Mimi natumia simu, hivyo basi kama kuna mtu amefanikiwa basi si haba kutupa mbinu mbadala
  3. DR HAYA LAND

    Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

    Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
  4. francois voltaire

    Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  5. Edward Mangapi

    SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  7. Damidizzo

    Kuna mtu amewasiliana na Customer Care ya Sensa?

    Jamani kama kuna ambae amefanikiwa kuwasiliana na customer care wa sensa wanasemaje kuhusu ambao hawajapata meseji ya nywila au namna ya kupata namba ya siri kwa ujumla?
  8. Lavit

    Kulikoni kazi za sensa??

    Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa.
  9. Restless Hustler

    Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo. Mamlaka...
  10. Analogia Malenga

    Takriban 49% ya wasioajiriwa wajitokeza kuomba ajira za sensa

    Ikiwa ni siku 4 baada ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutangaza ajira za muda za Sensa. Watu 119,468 wameshajitokeza kuomba ajira hizo ambapo waombaji 58,916 ni wale ambao hawana ajira sawa na 49.3% Idadi hiyo ni ya kuanzia Mei 4 hadi saa saba kamili Mei 9, 2022. Aidha katika walioomba kazi hizo...
  11. and 300

    Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  12. Jamii Opportunities

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

  13. mtwa mkulu

    Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA Serikali imetangaza ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) George Simbachawene amesema...
  14. Analogia Malenga

    Kasim Majaliwa: Sensa itafanyika kielekroni na tuna uhakika litafanikiwa

    Wakuu, nipo Dodoma kwenye kongamano la Tathmini na Ufuatiliaji lililoratibiwa na Tanzania Evaluation Association. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la anuani za makazi limefanikiwa kwa 85% na amesema zoezi la sensa litafanyika kielektronik hadi huko kijjijini. Japo sijaelewa ni namna...
  15. T

    Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  16. Lastmost

    Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

    Wakuu,salaam,. Hii ya kuhesabu sensa nasikia Ina hela ya kusogeza maisha. Natamani kujua ni kama Tsh. ngapi kwa kazi nzima ili nichangamkie au nipotezee. Hela naitamani ila ndio sijajua kama hii shuguli inalipa. Kwa mliowahi kuifanya, naomba dokezo tuu ni kama Tsh. ngapi kwa zoezi zima?
  17. and 300

    Wasanii watumike kuelimisha SENSA

    Tafadhali msiwasahau wasanii waliokesha kuwaombea Kura. Asante.
  18. Roving Journalist

    Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni inaendelea...
  19. OLS

    Zoezi la sensa lisitishwe kwa mwaka 2022, hadi uchumi utakapokaa sawa

    Ni karibia mwezi sasa tangu Urusi apewe vikwazo ambavyo vilitarajiwa kumuumiza ila kwa kuwa anajitosheleza amekuwa akiendelea kuweka hadidu zake na wanaposhindwa kuzifuata anaendelea kupiga. Hali imekuwa tete kwa nchi nyingi huku Afrika ikiumia zaidi kutokana na kuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa...
  20. Kibumbula

    Fununu ya maombi ya kazi ya sensa 2022

    Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa. Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
Back
Top Bottom