MKUU wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, ameahidi kutumia gharama yoyote ya fedha kupeleka nyama kwa wawindaji, waokota matunda na warina asali wa jamii ya Wahadzabe, ili kuwashawishi wajitokeze kushiriki sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
Wahadzabe hao ni wale wanaoishi katika Kitongoji...