Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07
Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kupitia uongozi wake imetangaza Septemba 1 mpaka 7, kuwa wiki ya mashujaa wa kidemokrasia, ambapo kilele chake itakuwa ni Septemba 07, 2025...