sera mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo na sera mbovu za ubinafsishaji ndizo zimetufikisha hapa, Mwaka 2000 exchange rate ilikuwa(1 Usd=Tshs 803.3)

    Salaam shalom!! Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si HAKI kuwaita wawekezaji Bali waporaji, na uporaji huo unashirikisha viongozi wetu wa ndani. Tulipopata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…