sera ya elimu

  1. K

    Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 ni nzuri kwenye makaratasi ila utekelezaji wake hauna maandalizi

    Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais, Serikali za Mitaa na Utawala Bora (OR-TAMISEMI), imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 kwa Shule za Sekondari kuanzia Januari 2025. Kwenye makaratasi, sera hii ni nzuri kwani imelenga kukuza vipaji na...
  2. Rais Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo La 2023, Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete...
  3. Dorothy Semu: Sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa wazazi. “Wazazi wanachangishwa fedha kwa ajili ya mitihani, vitabu, chakula, walinzi, ukamilishaji wa...
  4. SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya vyuo vya ufundi iwe lazima kisheria kwa vijana wote wanaoshindwa kuendelea elimu ya juu

    TANZANIA TUITAKAYO : ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI IWE LAZIMA KISHERIA KWA VIJANA WOTE WANAOSHINDWA KUENDELEA ELIMU YA JUU. UTANGULIZI. Awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, niwapongeze sana jukwaa la JAMII FORUMS, kwa kuanda shindano hili la kibunifu zaidi na lenye...
  5. N

    SoC04 Sera ya Elimu itakayowezesha wanafunzi kujifunza namna ya kujenga amani na maadili ili kupunguza vitendo vya ukatili na migogoro ndani ya jamii

    Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi yanayowakabili watanzania. Masuala mengi sana yanayoikabili nchi hii hayawezi kutatuliwa isipokuwa kuwa na...
  6. Serikali: Elimu ya msingi mwisho darasa la sita kuanzia 2027

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo Bungeni ijini Dodoma alisimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa sera ya elimu na mafunzo ya Elimu 2014 toleo la 2023, amesema sera ya Elimu na mafunzo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na sera iliyopita na maeneo hayo...
  7. E

    Sera mpya ya Elimu na Mitaala ni mibovu, ni mwendelezo wa kuwa na Elimu mbovu

    Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
  8. Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

    Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo. GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu. Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina...
  9. Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  10. Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo: 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
  11. Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo; 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za...
  12. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  13. Riziki Shahari: Hadaa na Uzembe wa Serikali Katika Utekelezaji wa Sera ya Elimu Bila Malipo Unaangamiza Elimu Nchini

    Hadaa na uzembe wa Serikali katika utekelezaji wa Sera ya Elimu bila malipo; unaangamiza Elimu nchini. Utangulizi Kwa takribani wiki tatu (3) mfululizo hususani kwa mwezi Januari 2023, kumeibuka maswali, maoni, malalamiko na vilio kuhusu sekta ndogo ya Elimu nchini. Mambo yaliyopelekea kuwepo...
  14. Prof. Mkenda: Tuko tayari kwa mjadala wa kitaifa kuhusu Mapendekezo ya Sera ya Elimu na Mitaala

    Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya Serikali ili kupata ridhaa ya rasimu zilizoandaliwa kupelekwa kwa wadau kwa mjadala wa kitaifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa...
  15. Serikali haina budi kupitia upya sera ya elimu bure

    Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo. Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
  16. C

    Sera mpya ya elimu inapatikana wapi na wadau wanaoipitia na kuijadili ni akina nani?

    Nimesikia tu kuwa kuna sera mpya ya elimu ambayo kwa sasa wanadau wanaipitia. Swali langu je sera hii inapatikana wapi? Je, kuna forum yoyote inayoijadili? Au ndio mnaini ninyi mlio serikalini ndio wenye akili pekee kujadili sera hiyo? Je hamuwezi kuruhusu hata sisi wa kawaida tuulize hata...
  17. SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  18. SoC02 Kuwepo na sera ya elimu nchini Tanzania yenye kuboresha na kutekelezeka kwenye vituo vinavyotoa elimu katika mfumo usio rasmi(tuition centers)

    Utangulizi Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na kuelekeza juu ya utekelezaji wa majukumu ya wizara, idara, taasisi, sekta binafsi na jamii kwa ujumla. Sera...
  19. Sera ya Elimu yataka umri wa elimu lazima kuwa miaka 10

    WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeunda timu ya kuanza kupitia Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 ambayo miongoni mwa mambo yanayotajwa kwenye sera hiyo ni elimu ya lazima kuwa miaka 10 badala ya saba. Hatua hiyo itakwenda sambamba na mabadiliko ya mitaala ya elimu kuanzia elimu ya awali...
  20. Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…