sera ya elimu

  1. D

    Kurudi kwa michango mbalimbali mashuleni. Je, Serikali imeshindwa kutekeleza sera ya Elimu bure?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati lakini watu wameenda deep zaidi hadi pesa za mitihani ya shule. Hizi ni dalili tosha kabisa kwamba...
  2. Doctor Mama Amon

    Ombwe la elimu ya ujinsia na mimba za wanafunzi 980 katika siku 180 wilayani Kidondo: Sera ya Elimu Tanzania inakidhi mahitaji?

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
  3. robinson crusoe

    Antony Mtaka aambiwe kwamba sera ya elimu ni ya kitaifa na siyo mkoa kwa mkoa

    Bila hata kujua kiwango cha elimu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, mara moja naona makosa ya kiutendaji aliyonayo. Kwanza, yaonekana ni mtu asiyejua kuchagua maneno. Pili, hakujua mchakato upi uboreshe kiwango cha elimu mkoani kwake, siyo ufaulu anaotafuta. Elimu inaendeshwa kitaifa na siyo ki-mkoa...
  4. Miss Zomboko

    Rais wa Zanzibar asema kuna haja ya kubadilisha sera ya Elimu ili iendane na mabadiliko yanayotokea

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo. Dk Mwinyi amebainisha hayo leo alipokutana na wadau wa sekta ya elimu Mjini Unguja. “Baada ya kusikiliza maoni ya wadau...
  5. A

    Serikali pitieni upya Sera ya 'Elimu Bure', ikiwezekana ifutwe kabisa

    Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara nyingi kuliko faida. Hasara ya kwanza: Tangu kuanzishwa kwa sera ya elimu bure, serikali imeshindwa...
  6. William Mshumbusi

    Sera ya Elimu ya JK 2014 ingesaidia kuimarisha ajira za uhakika, kwanini wapinzani waliibeza na Uongozi huu ikaitupilia mbali kabisa?

    Kifupi kabisa ni sera iliyolenga kila Mtanzania anapomaliza elimu awe na ujuzi mahususi utakaosaidia kujiajiri na kujenga Taifa. Sera hiyo ilikusudia kila mwanafunzi amalize kidato cha nne na kisha ajiunge ama na chuo cha ufundi au ustadi kitakachokuwepo kila Kata ili apate mafunzo ya...
  7. OLS

    Ili kuwalinda Watoto Sera ya Elimu yapaswa kuboreshwa

    Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana miaka mingi iliyobaki wao kuwepo kuliko mimi ambaye nakaribia ule wastani wa mtu kuishi duniani...
  8. Kassimu Mchuchuri

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  9. isajorsergio

    Education need an update similar to operating systems.

    Education seriously needs an update, It still teaches us the things that have already been made easier to do. It feeds in information instead of bringing out ideas. Creative education is almost gone, nobody talks about creativity and innovation. If a doctor gives the patient of cholera, the...
  10. Titicomb

    Kwanini Wizara ya elimu inafanya majaribio hatari kwa elimu ya watoto wetu?

    Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi. Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani. Wazazi, wanafunzi na shule wote wakajiandaa na jambo hilo ikiwemo kuhusu plani ya bajeti namna watakavyo...
Back
Top Bottom