Edit: Inaonekana wapinzani wenyewe dont know direction ya kisiasa ya vyama vyao kwani:
1. wanasahihisha lugha kwa typos za mwandishi (michapio) midogo midogo bila sababu
2. wanatukana mwandishi
hii ni sign tosha ya mtu asiejua jibu jamii forum (personal attacks or ad hominem
nawapa pole in...
Baada ya sintofahamu iliyoendelea kwa muda wa wiki moja sasa, WhatsApp imesema kuwa inasogeza mbele muda wa kukubaliana na sera yake mpya ya faragha hadi Mei 15, 2021 badala ya tarehe ya awali iliyokuwa imewekwa ya Februari 8.
Katika chapisho la blogu, kampuni hiyo ya mawasiliano inayomilikiwa...
Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha.
Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake.
Sera hizo mpya...
Habari za leo wakuu,
Uzii huu utakuwa maalum kuijadili sera yetu ya viwanda.
Bila kutukana wala kumnyoshea mtu yeyote kidole, naomba kila mmoja atoe maoni yake.
Mada: Wewe unahisi sera yetu ya viwanda ina mapungufu gani?
Zingatia ili taifa letu liweze kuendelea linahitaji kuwa na sera bora...
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
Salaam Wana JF.
Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara nyingi kuliko faida.
Hasara ya kwanza: Tangu kuanzishwa kwa sera ya elimu bure, serikali imeshindwa...
Katika Sera mbovu Viongozi walizokosea, ni hii Sera ya 50 kwa 50!
Mtakumbuka mwanzoni mwa miaka ya tisini na mapema miaka ya 2000; Sera ya elimu ilianza kuwabeba wanawake kwenye ufaulu!
Wanawake waliopata madaraja ya chini ya ufaulu (lower division), walipewa kipaumbele cha kuchaguliwa...
Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Hapa ni ushauri wa bure kwao vyama vyote watia nia kuelekea lala salama katika uchaguzi huu.
Zimekuwapo changamoto nyingi katika kufikisha ujumbe kwa wapiga kura. Pana vyama waziwazi vimekuwa vikibebwa na vyombo vya habari (vya umma na hata vya binafsi hali...
Tutaunganisha sera za vyama vyote vya siasa ndani ya siku 100 za kwanza madarakani
Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima Tanzania, AAFP, Seif Maalim Seif amesema kuwa ndani ya siku 100 za kwanza atakapokuwa madarakani atafanya mabadiliko katika mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.