Anachofanyiwa Dangote na serikali ya Nigeria na viongozi wake ni masikitiko. Napata mashaka juu ya utimamu wa akili zetu.
Baada ya kutokea mkombozi wa kiteknolojia [Huawei] China serikali ya China ilisimama na Huawei na kuhakikisha kwa namna yoyote Huawei inasimama hata pale ilipopata tishio la...