serikali ya nigeria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania "Je, Serikali ya Nigeria Inapaswa Kujadiliana na Watekaji Ili Kuokoa Mateka?"

    Takriban watu 20 wameuawa baada ya magenge yenye silaha kuvamia vijiji vya Jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria, kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP. Mwakilishi wa Wilaya ya Sauna katika eneo la Talata Mafara, Nasiru Lauwali, alisema washambuliaji walivamia vijiji hivyo kati ya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Boko Haram ilianza kama kikundi cha Mwaipopo kwa mgongo wa serikali ya Nigeria

    Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali. Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa Dangote na Serikali ya Nigeria kinanipa wasiwasi na utimamu wa akili zetu

    Anachofanyiwa Dangote na serikali ya Nigeria na viongozi wake ni masikitiko. Napata mashaka juu ya utimamu wa akili zetu. Baada ya kutokea mkombozi wa kiteknolojia [Huawei] China serikali ya China ilisimama na Huawei na kuhakikisha kwa namna yoyote Huawei inasimama hata pale ilipopata tishio la...
Back
Top Bottom