Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma (SJMC) kwa miaka kadhaa kimekuwa kikitekeleza mradi unaojulikana kama 'Yearbook' ukiwa ni utafiti kuhusu “Ubora wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania. Katika mwaka 2024 utafiti huo ulichunguza uripoti...
"Uchaguzi Serikali Mitaa 2024 ulitarajiwa kuponya majeraha ya Kidemokrasia yaliyotokana na Uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini umezidisha maumivu na kuwakatisha tamaa wananchi na wadau wote wa demokrasia juu ya uwezekano wa kutopata Uchaguzi huru na wa haki hapa nchini,
Matokeo ya Uchaguzi...
Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake.
Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi...
Fuatilia mubashara mjadala wa Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaofanywa na JamiiForums kwa Kushirikiana na Start TV.
https://www.youtube.com/live/2DskPzSytWY?si=9Ykw6hjtEkxbl7MR
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ingia hapa: LGE2024 -...
Ni upi uhalisia wa video hizi mbili ambazo nafikiri zimetokana na mahojiano ya Jambo TV na Tundu Lissu kuwa amekiri kuwa migogoro ndani ya chama ndiyo chanzo cha kushindwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Salaam, Shalom!!
Palikuwa na ujumbe usemao:
"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).
Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa?
Swali no 2.
Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kwa asilimia 100 kwenye nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024.
Mwajuma ameyasema hayo wakati akitoa taarifa za matokeo ya...
Namshauri Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Mwenyekiti asitafute kisingizio kingine, anachotakiwa ni kujiuzulu kwa maslahi ya Chama.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni uchaguzi usio huru na haki, tunaomba mamlaka iangalie namna ya kurudiwa kwa uchaguzi maeneo mbalimbali ambayo wagombea wa upinzani wametekwa, kupotea na wengine kuuliwa.
Kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza sehemu mbali mbali nchini mawakala wa...
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi
Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Bara, Isihaka Mchinjita @MchinjitaIR, amesema kuwa suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho anadai ndicho chanzo cha matatizo hayo.
Akihutubia wakazi wa kijiji cha...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewapongeza viongozi wa CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa makubaliano yao ya kuunga mkono kwa pamoja wagombea uenyekiti wa kijiji wa ACT Wazalendo na wa vitongoji wa CUF.Amesema...
TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
ahadi
ccm
ccm uchaguzi
chama cha mapinduzi
katika
mafanikio
mapinduzi
mitaa
mwaka 2024serikaliserikalizamitaaserikalizamitaa2024
tamko
uchaguzi
usalama
utawala
utekelezaji
Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024, kushiriki shughuli za maendeleo, kuonyesha vipaji pamoja na kuongeza ushiriki...
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga ambao unakwamisha jitihada za kuleta maendeleo katika mtaa wao.
Babu Duni ametoa wito huo Novemba 20...
ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo watapewa ridhaa.
Ambapo wameainisha mambo kumi watakayoyafanya itakaposhinda mitaa, vijiji, na miji midogo
Chama cha ACTwazalendo kimetoa wito kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, kusimamia maelekezo yake kuhusu rufani za wagombea ili kuhakikisha kuwa wagombea wa chama hicho waliotenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji...
.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi...
Ndio maoni yangu. Uchaguzi huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita.
Kama ahueni yoyote itatokea, labda itakuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Lakini mwaka huu unaweza kuleta matatizo. Kwanza wananchi wamekaribishwa kujiandikisha kupiga kura, wamekataa.
Ina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.