CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeibua mkanganyiko mkubwa kwa wanachama na wananchi baada ya kubadili msimamo wake kuhusu kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Awali, chama kilieleza nia ya kushiriki uchaguzi lakini Freeman Mbowe alinukuliwa akisema hawatashiriki.
Baadaye, chama...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.
Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea...
Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje?
Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limekamilika rasmi Tanzania. Zoezi hili muhimu ni hatua ya kwanza kuelekea uchaguzi...
Matarajio ya CCM kushinda viti vingi vya wagombea wao katika Uchaguzi ujao wa Serikali Mitaa huenda yasitimie kwa sababu ya figisu za wao kwa wao kwenye uteuzi wao wa ndani hali itakayopelekea visasi ndaniyo.
CCM itarajie kisichotarajika kwenye Uchaguzi huo.
Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito mzito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi waadilifu na wenye moyo wa kuwatumikia wananchi.
Ametaka wagombea...
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
Na Mwita Mwija
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ameeleza kuwa kutokana na uhaba wa fedha, kwa sasa wagombea wote ngazo za mitaa, vijiji na vitongoji lazima wachangie kukiwezesha chama shilingi Laki nne (400,000) hii itasaidia uwezeshaji katika usimamizi wa chaguzi hizo kwa kuweka mawakala...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wa habari RC Malima amesema kuwa vyombo vya ulinzi...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanawake kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa kuwa wanazifahamu vema changamoto za jamii na pia wanao uwezo wa kuongoza vizuri.
Dkt. Philip Mpango Mpango amesema hayo baada ya kushiriki zoezi la uandikishaji kwenye...
Wakuu salama?
Zoezi la kujiandikisha limezinduliwa jana Oktoba 11 na Rais Samia, meona nianzishe uzi huu ili tushee picha na video za maeneo ambayo tunaenda kujiandikisha kupiga kura.
Kuona vituo vikoje, mazingira kwa ujumla yanaridhisha? Au mnaandikishwa chini ya mti🌚!
Ukiweka picha na video...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na Barua hii mtandaoni, nasikia CHADEMA wametema bungo wanataka kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kuna ukweli hapa?
Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena uchaguzi kwa makusudi.
Haya mambo siyo ya kufumbia macho kabisa Serikali fuateni utaratibu hawa...
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu (CCM-Bara), John Mongella baada ya kupokea taarifa ya...
Wakuu salaam,
Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote.
Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
serikaliserikalizamitaaserikalizamitaa2024
uchaguzi
ushiriki uchaguzi 2024
ushiriki wa vijana
vijana
wanawake
wanawake kushiriki uchaguzi
wanawake na uongozi
Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa:
1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwe na uwazi katika kuendesha mchakato wa uchaguzi kuanzia usajili wa wapiga kura, uteuzi...
https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc
========
Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa atapotoa tangazo la uchaguzi huo...
kuelekea 2025
serikaliserikalizamitaaserikalizamitaa2024
tamisemi
tangazo la uchaguzi serikalizamitaa
uchaguzi mkuu
uchaguzi tamisemi
uchaguzi wa serikalizamitaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.