serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mturutumbi255

    LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  2. BLACK MOVEMENT

    Ni Tanzania pekee ambako Vyama vvya Upinzani husakamwa kuliko chama kinachotawala. wanahamisha nguzo za goli

    Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana. Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na sio Wapinzani. Hawa ndio wanao chota pesa BOT, na kwingineko. Wakusanya Kodi ndio wanao sabanisha...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

    Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/= Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
  4. Tlaatlaah

    Kipi kitakuongoza kufanya maamuzi ya kuchagua kiongozi wako katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao?

    Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu, Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi? Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
  5. BabuKijiko

    Pre GE2025 RC Chalamila Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 utafanyika katika Mitaa yote 564

    Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90. Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura...
  6. Roving Journalist

    LGE2024 RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki

    "Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili tuweze kichagua Viongozi tunaowataka, na mwisho tuepuke malalamiko kwa kuchagua au kwa kutohusika...
  7. jingalao

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa CCM isafishe machawa, wahuni na wanafiki

    Walizoeleka kukiteka chama kipindi cha nyuma kidogo. Yaani walijidai kuisifia CCM ili wapate uongozi huku wakijivika umaarufu ..eti CCM ikiwatosa watahamia Chadema. This time around hakuna chama cha kuwabeba wakikosa CCM watakosa na Chadema pia...chadema ni legevu mnooo. Wana CCM kindakindaki...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Chege awajengea uwezo Madiwani kuelekea maboresho ya Daftari la Mpiga Kura

    Wakati serikali ikitarajia kutangaza zoezi la maboresho ya daftari la wapigakura katikati ya mwezi wa saba kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoani Mara @jafari_chege anatarajia kuanza ziara itajayojikita kata kuwaanda...
  9. Not_James_bond

    Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025: Kupungua kwa Mwamko wa Kisiasa Miongoni mwa Wananchi wa Tanzania

    Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona, Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile Wananchi wameonekana kupoteza mwamko wa kisiasa, na imani yao kwa vyama vya siasa na viongozi wao...
  10. Kyambamasimbi

    Vijana wasomi mlioko mtaani, elezeni vilio vyenu kupitia uchaguzi serikali za mitaa 2024

    Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
  11. Erythrocyte

    Pre GE2025 CHADEMA yapinga uchaguzi wa serikali za mitaa kusimamiwa na Tamisemi

    Wanataka uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Uchaguzi. Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika hii hapa . ====== Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimependekeza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa usogezwe mbele ili upatikane muda wa kutosha wa kufanya maandalizi ya kuwezesha...
  12. Suley2019

    Pre GE2025 Dkt. Festo Dugange: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utazingatia 4R's za Rais Samia

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema uchaguzi wa serikali za mitaa utazingatia ‘R-4’ za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kila chama kipate nafasi sawa. “Uchaguzi wa serikali za mitaa...
  13. S

    Pre GE2025 INEC yafafanua hoja ya TAMISEMI kusimamia Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa. --- Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga...
  14. Mturutumbi255

    Pre GE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  15. A

    SoC04 Kuongeza wigo wa matumizi ya mifumo ya tehema ili kurahisisha ukusanyaji wa data (taarifa)mbalimbali kuanzia ngazi ya Serikali za Mitaa

    UTANGULIZI Data au Taarifa ni kiini cha maendeleo katika taifa. Taifa lililoendelea na linaloendelea hutegemea data (taarifa), namna nchi inavyokusanya taarifa,kuzihifadhi,kuzichakata na kupata matokeo ya data hizo ndiyo imekua tofauti kubwa kati ya Mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea...
  16. F

    SoC04 Tunatamani Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa kufanyika kwa njia ya mtanado (Smart Vote Card)

    Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard) Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
  17. Suley2019

    Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  18. K

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  19. Ms Billionaire

    KERO Wakazi wa Goba njia ya Tegeta A kwenda Madawa na Kulangwa tuna changamoto kubwa ya Barabara

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa...
  20. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025: Hizi ni Katiba mbali mbali za vyama

    Kazi kwenu wananchi na watia nia
Back
Top Bottom