The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma.
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa...
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo:
1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa mishahara ya dola za Marekani Milioni 102 ambazo ni sawa na Bilioni 238 za kitanzania
2. Mradi huo...
Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora - Kigoma) katika Ukumbi wa Kikwete Hall - Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Desemba, 2022.
Utiaji saini huo utahusisha kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli na Kampuni za ubia wa CCECC na...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limependekeza nauli za abiria kwa treni ya mwendokasi (SGR) kutoka mkoa ya Dar es Salaam hadi Dodoma Sh19, 000 kwa watu wazima na wadogo Sh 9,000 kwa daraja la kawaida.
Wakati huo nuali ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro...
Mafisadi na Walevi wa utajiri wana akili sana sana. Akili ya kawaida ni kwamba Dhamira kuu ya SGR ilikuwa kupunguza kero za Usafiri wa barabara katika kukuza uchumi na maendeleo.
Hivyo ilifaa SGR iwe mbadala wa Usafiri wa barabara Kwa abiria na mizigo kama namna ya kuongeza kasi ya ukuaji wa...
Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa:
~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
Natamani kujua hili na huenda ikawa faida kwa wengi, alasiri ya leo 9.12.2022, nimekutana na mabehewa mapya yaliyoshushwa hivi karibuni yakiwa kwenye reli ya zamani Morogoro, je hayo mabehewa yanawezaje kupita kwenye reli hiyo huku ikitajwa kwamba upana wa reli hizo haufanani.
Hata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo.
Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini.
--
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza...
Viongozi wetu ki ukweli mnajua kutuaibisha saaana yaani!
SGR ya Wakenya tulikuwa tukishinda hapa kuwacheka na kuwalingishia ya kwetu kwamba, lao linatembea mwendo wa kinyonga, na ya kwetu itakuwa mithili ya bombardier yaani!
Mlivyotufanyia viongozi wetu kwenye hizo behewa tuu, inatosha kabisa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Good morning Jamiiforums.
Ni takribani siku saba/wiki moja imepita sasa tangia nchi ya Uturuki, inayotujengea SGR, ishambuliwe na magaidi. Ipo wapi response yetu? Are we not supposed to share in their grief?
Nimepitia tweets na accounts za Rais, Wizara ya mambo ya nje, Ubalozi wetu kule...
Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya.
Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi?
Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote.
Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.