shabiki simba apigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe, Shabiki Simba maarufu kama ‘Dokta Moo’ wapigwa faini ya shilingi milioni tano, Ahmed Ally aponea chupuchupu

    Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemkuta na hatia shabiki wa Simba Mohamed Khamis Mohamed maarufu kama ‘Dokta Moo’ aliyeshtakiwa na Sekretarieti ya TFF akituhumiwa kwa kosa la kuchochea umma kwa ujumla kinyume na Kanuni 73(4) ya Kanuni za Maadili ya TFF Toleo la...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba apigwa mbele ya Ali Kamwe, Yanga na shabiki wachukuliwe hatua kali kwa hili

    Tukio la kusikitisha limetokea baada ya mechi ya Yanga SC vs MC Alger ambapo shabiki wa Simba alipigwa na mtu wa Yanga mbele ya Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, wakati wa mahojiano na Crown Media. Pia, Soma: FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025...
Back
Top Bottom