Benard Morrison ni kama Ex aliyeondoka kwa dharau sana na kila tulipokutana nae alitudhihaki.
Je, unakubali kumpokea Morrison katika klabu yetu tena? Morrison anaenda kucheza nafasi ya nani?
Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja.
Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 inaendelea, na China imetimiza lengo lake la kuwahamasisha wananchi milioni 300 kushiriki kwenye michezo ya majira ya baridi.
Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo...
Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
Hernan Mastrangelo ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Don Hernandied amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101, huyu anasifika kuwa shabiki wa Lionel Messi ambaye aliandika katika makaratasi mabao yote ambayo yalifungwa na mchezaji huyo.
Mjukuu wa mzee huyo, Julián ndiye ambaye alianza...
Ngoja niwasaidie kuelewa MUZIKI na Aina yake naongea Kama mwandishi wa MUZIKI .. changamoto ata sisi waandishi tunapitia mtu anakupa beat ya amapiano au ya bolingo af anakwambia niandikie isound Kama ya mtu fulani. Kwa vile analipia mwandishi atajitaidi kuweka signal flan za asili za Aina iyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.