shakira

  1. Damaso

    KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  2. Half american

    Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

    Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani. Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui...
  3. JanguKamaJangu

    Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza. Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
  4. BARD AI

    Shakira avunja rekodi Youtube kwa wimbo aliomchana Ex wake (Gerard Pique)

    Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho. Shakira...
  5. Influenza

    Shakira kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukwepa kodi

    Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000) Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa Shakira amekuwa akikana tuhumu...
  6. JanguKamaJangu

    HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

    Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa kodi. Shakira alipewa ofa na watoza kodi kuwa wayamalize kwa kutakiwa kulipa kiasi cha fedha kati...
  7. JanguKamaJangu

    Shakira atangaza kutengana na Gerard Pique

    Nyota wa muziki Shakira ametangaza kutengana na Gerard Pique ikiwa ni miaka 11 baada ya wawili hao kuwa pamoja na kufanikiwa kupata watoto wawili. Taarifa hizo zilianza kama tetesi ikidaiwa Pirque alifanya usaliti. Shakira, 45, ametoa tamko rasmi la kutengana kwao lakini Pique, 35, hajasema...
  8. Christopher Wallace

    Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

    Huyu mrembo ana trend sana huko IG naona ameanza kumpiku yule Poshy Queen. Hivi hawa wanakula nini jamani maana sio kwa shepu hizi? Kwasasa sidhani kama kuna mrembo anamzidi huyu bibie.
Back
Top Bottom