sharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nawaalika nyote katika Kipaimara cha mwanangu kwa Sharti moja tu, uwe umekula utokako

    Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu. Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa kwenda mbele kwa wageni waalikwa huku bia moja mkiwa mnashea watu watatu. Kuhusu nyimbo ambazo...
  2. Justine Marack

    Sharti Mbunge awe amepitia JKT au jeshini na amewahi kutumikia taifa

    Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT). Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda usiooungua miaka mitano.
  3. A

    Hili sharti kwenye APP ya CRDB Simbanking lina maana gani?

    Mimi ni mteja wa benki ya CRDB. Kadi yangu ya benki imekwisha muda wake; hivyo jana nilikwenda kweny Tawi lao kwa ajili ya kupata kadi mpya. Mhudumu wa benki aliniambia utaratibu wa kupata kadi mpya ni ku-apply kwa kutumia App ya CRDB. Nilifanikiwa ku-download App ila nilisita kukubali...
  4. Buzi Nene

    Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  5. B

    Wabunge wakemee kwa nguvu zote kigezo cha kujiunga na majeshi kwa sharti la kupitia JKT

    Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi. Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani? Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
  6. Nyuki Mdogo

    Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Haya ndugu zangu wapambanaji. Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja. Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
  7. T

    Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  8. BARD AI

    China kuondoa sharti la Karantini kwa wageni wote kuanzia Januari 8, 2023

    Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia. Pia, Taarifa iliyotolewa na Mamlaka imesema wageni watalazimika kufanya kipimo cha kubaini hali zao (PCR) lakini...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kiapo cha Baba Mkwe; Upendo wa Baba Kwa Binti Yake; Moja ya sharti atakalompa Mkwe wake(atakayeoa binti yake)

    KIAPO CHA BABA MKWE; UPENDO WA BABA KWA BINTI YAKE, MOJA YA SHARTI ATAKALOMPA MKWE WAKE(ATAKAYEOA BINTI YAKE). Anaandika, Robert Heriel Hakuna atakayebisha kuwa Baba yeyote anaupendo mwingi Kwa mabinti zake. Halikadhalika, mabinti wengi huwapenda Baba zao zaidi kuliko Mama zao. Wakati kina...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  11. ommytk

    Sharti gani ushakutana nalo pindi umeenda kuangalia TV kwa jirani miaka hiyo ukiachana na mkae chini

    Hii kwa waenga tu enzi hizo miaka hiyo TV zipo chache unakuta mtaa mzima ipo moja au hakuna kabisa na hapo mnaangalia ni mikanda tu na wenye nyumba wakali maana watoto kwa kuchafua nyumba na miguu michafu basi mnasema kesho usiwafungulie hahahaaha
  12. sky soldier

    Iwe sharti wanaume kuhamisha mali kwa watoto wa mwanzo kabla ya kuoa mke mwingine ili kuepusha dhuluma kwenye urithi baada ya kufariki

    Ishu kuu ni hawa mama wa kambo kuchota kila kitu huku, watoto wa mwanzo wanaambulia patupu...Je ni haki hawa mama wa kambo kuzoa kila kitu? Binafsi nimeona kabla mwanaume hajaoa mwanamke mwengine (hasa hawa wazee wanao oa mabinti) , ingependeza haya mambo ya urithi yawe wazi ili kuepusha shari...
  13. Analogia Malenga

    Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
  14. S

    Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania. Sasa juzi hapa kanishauri...
  15. YEHODAYA

    Serikali iruhusu kuwepo kwa vyuo ambavyo havijasajiliwa kwa sharti kuwa vijitangaze kuwa havijasajiliwa popote

    Nchi zote zilizoendelea ikiwemo Marekani huwa wana vyuo ambavyo havajiasajiliwa. Ili mradi vijitangaze hivyo kuwa chuo ni unaccredited na kuwa havitoe vyeti vinavyotambuliwa popote. Hivi vyuo huwa ni muhimu sana sababu vingi hutoa knowledge za jinsi ya ku survive mitaani. Pia ndivyo hutumika...
  16. platyhelminthesis

    Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

    Asee mimi sharti la kijinga lilikua ni kusema kama unataka kuongeza mkataba wa kupanga miezi miwili kabla ya muda kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
  17. Mrs Gudman

    Nahitaji laptop sharti iwe kwenye hali nzuri

    Naomba kuuliza mwenye laptop anauza. RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea. Hard disc kuanzia 200 na kuendelea. Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea. Bei isizidi laki tatu Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm. NB: Nipo Dodoma
  18. S

    Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

    Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni. Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm...
Back
Top Bottom