shauri la lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imeonyesha maamzi yako wazi kuwa Lissu hana kesi ya kujibu kwakuwa Hakuna uhaini unafanywa na mtu mmoja

    Kumekuwepo tetesi ya kuwa mahakama ya Tanzania inaendeshwa Kwa simu Moja tu, Kuwa Kuna wanasiasa na Matajiri wamewaweka majaji na mahakimu mfukoni kama alivosema Rostamu Aziz Dunia itaenda kujua kuwa mhimili huu wa haki ni mfu, unaamrishwa na kuendeshwa na vilaza wa CCM Kesi ya Lissu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Wanaosema sababu shauri la Lissu liko mahakamani, hakuna anayepaswa kumshauri Rais alitafutie ufumbuzi wanakosea

    WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali. Mahakama zina wajibu wa kutoa...
Back
Top Bottom