Kumekuwepo tetesi ya kuwa mahakama ya Tanzania inaendeshwa Kwa simu Moja tu,
Kuwa Kuna wanasiasa na Matajiri wamewaweka majaji na mahakimu mfukoni kama alivosema Rostamu Aziz
Dunia itaenda kujua kuwa mhimili huu wa haki ni mfu, unaamrishwa na kuendeshwa na vilaza wa CCM
Kesi ya Lissu...
WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali.
Mahakama zina wajibu wa kutoa...