Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.
Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke...