Sheikh Kabeke: Vyombo vya ulinzi havihusiki na mauji ya wananchi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.

Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.

"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema

Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
 
BAKWATA wamepewa na nani dhamana ya kuwa wasemaji wa Serikali?

Ukiwa mlinzi kwenye duka la mangi na mlango wa duka ukawa unavunjwa na vitu kuibwa mara kwa mara bila wewe kuona anayevunja na kuiba, wewe ndiye utakuwa mhusika wa huo wizi. No excuses!
 
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.

Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.

"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema

Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
Mbona unaripoti taarifa yako kidwanzi kiasi hiki?

Hao Jambo TV ina maana hawakumuuliza huyo shekhe ubwabwa swali ufunguo (key question) kwamba,

"...kwa mujibu wa Tume uchwara ya uchunguzi chini ya uenyekiti wa Jaji mstaafu mzee Chande, wanasema watu 518 waliuwawa. Unaweza kutuambia hawa waliuwawa na nani..?"

Hili ndilo swali msingi (key question) ktk mahojiano yao. Kama halikuulizwa, basi huu ni uchafu ulioamua uwalishe watu wengine. Mimi nakataa ujinga huu..
 
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.

Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.

"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema

Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
Mwambieni yeye ni mpumbavu tuu
 
Mzee Mohamed Said hawa ndugu ktk imani waandikie makala ya kuwahasa waaxhe ujinga .
 
Vyombo vya ulinzi vinalinda lakin havimjui mtekaji na muuaji wa raia, hata aliyeua zaidi ya raia 518 kwa mujibu wa ripoti ya CCM. Vyombo vya ulinzi havimjui!..............vinalinda nini sasa......??????
Hao ndiyo "masheikh" ambao wakiitwa majina mabaya na kukejeliwa hawajali kwa sababu tu wanamtetea mtu wa imani yao na kugawiwa vijisenti kadhaa wajikimu na njaa ya siku mbili-tatu.Aibu kubwa sana hii!
 
Akiingia Rais mkristo...

Hawa masheikh hutowasikia tena, ila watakuwa wanatoa lawama chini kwa chini...

Wenzao wakristo wataendelea kutoa waraka na matamko mbalimbali kumpinga kiongozi bila kujali dini yake...

Maana wana credibility hiyo...
 
Kutokupenda ukweli na kukumbatia unafiki hakuna tofauti na wafanyao shirki.Wanajiweka dhalili sana hadi mbele ya watoto wadogo na waumini wao.
 
Back
Top Bottom