Wakuu
Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto.
Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande...
Sasa Sheikh hii dua kweli itakubalika kweli jamani, watu wakitoa maoni au mitazamo yao ni akili mbovu? hata hivyo kwa sasa mnafanya waumini wajenge taswira mpya kuhusu nyinyi viongozi wa dini
-------------
Katika Dua maalum ya kuiombea nchi yetu Tanzania amani,utulivu na uzalendo iliyoandaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.