Mbung Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Edward Lukuba wakati akichangia hoja Bungeni leo Aprili 14, 2026, amemsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu asiogope kuendelea kufanya kazi kwani umoja wa wanawake UWT ipo tayari kumpa ushirikiano
"Mama ninakupa mstari kwenye Biblia, nakupa...