Mbunge Sheila Lukuba amsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu Isaya 41:10 'Usiogope'

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbung Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Edward Lukuba wakati akichangia hoja Bungeni leo Aprili 14, 2026, amemsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu asiogope kuendelea kufanya kazi kwani umoja wa wanawake UWT ipo tayari kumpa ushirikiano

"Mama ninakupa mstari kwenye Biblia, nakupa mstari kwenye Biblia ambao utakutia nguvu. Isaya 41:10: 'Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia."

Chawa zimelianzisha kwa nguvu sana.. Sijui maana yake ni nini Ila hill dodoki halifiki popote
 
Mbung Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Edward Lukuba wakati akichangia hoja Bungeni leo Aprili 14, 2026, amemsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu asiogope kuendelea kufanya kazi kwani umoja wa wanawake UWT ipo tayari kumpa ushirikiano

"Mama ninakupa mstari kwenye Biblia, nakupa mstari kwenye Biblia ambao utakutia nguvu. Isaya 41:10: 'Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia."
well done mh. sheila :KasugaYeah:
 
Hakuna bunge ni bange.tu
 
Mpaka amsomee vifungu hvyo Ina maana ameona kuna jambo halipo sawa.kwa mama Abdul

Mbona bado mtamsomea had ngonjera huyo mama kumtia moyo
 
Back
Top Bottom