shemdoe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Serikali inaandaa Mradi wa kukarabati Shule zote kongwe Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI imeandaa andiko la mradi unaoitwa SIFA yaani (School Infrastructure Facelifting Programme) na kuliwasilisha Wizara ya Mipango, ili kuwezesha upatikanaji wa fedha za...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe, Balozi wa Tanzania Ufaransa, wajadili mikakati kuvutia Uwekezaji Bonde la Msimbazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe.Ali Mwadini, kujadili mikakati ya kuvutia na kutafuta wawekezaji katika eneo la Bonde la Msimbazi lililopo jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…