sherehe

  1. The Watchman

    Pre GE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia

    Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana. ======= Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
  2. The Palm Beach

    Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  3. BLACK MOVEMENT

    Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  4. ndege JOHN

    Ubunifu wa ukumbi wa sherehe msituni;Tumuunge mkono mshana jr kwenye topics zake za ubunifu

    Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee. Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day 📅 Tarehe: 22 Februari 2025 📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki katika sherehe ya Police Simiyu...
  6. Raia Fulani

    Ni wapi Dar hii naweza pata venue ya wazi kwa ajili ya shughuli ndogo ya kijana wangu?

    Wakuu salama? Najaribu kuuliza ni wapi nitapata kaeneo ka wazi kwa idadi ya watu wasiozidi 100 kwa ajili ya function kidogo. Kwa mwenye kujua tafadhali
  7. mdukuzi

    Simba mliacha kuandaa timu mkaenda Dodoma kwenye sherehe za CCM

    Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
  8. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 CHADEMA kanda ya kati yadai walimu walipewa hela kushiriki sherehe za CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma tarehe 05 Februari 2025. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma...
  9. The Watchman

    Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  10. Eli Cohen

    Pongezi kwa jamii ya kikurya kwa kuwa na utamaduni wa kuwafanyia sherehe ndogo ya kuwachinjia mbuzi wazazi/walez kama njia ya thanksgiving na kuwaenzi

    Hapa najua vijana mliotoka kawe leo mtasema wanatambika😂😂😂
  11. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
  12. B

    Niko Nachinja Mbuzi wa Sherehe, wewe umejiandaaaje Ushindi wa Lissu?

    NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku. Nikawasha Data naona bando limeisha. Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka. Nikawasha VPN ikagoma. Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya? Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale...
  13. Rozela

    Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

    Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia. Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi. Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
  14. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  15. K

    SOFTWARE App kwa ajiri ya sherehe andaa orodha ya waalikwa na kadi za kielekitroniki

    Je, wewe ni Bw. / Bi. harusi mtarajiwa una sherehe yoyote inayohusisha michango? Je, unahitaji kuandaa kadi za kielekitroniki #ecard #electronic Card zenye majina na QR codes kwa ajiri ya uthibitisho (verification). Tunayo application itakayoweza kukusaidia kuandaa hivyo vyote. Application...
  16. Mshana Jr

    Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

    Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali. Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako Ahsante
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Maskini nyama wataila kwenye sherehe na misibani tu. Safi sana karibu tutafika

    Ni heri ukose vyote lakini usikose akili , maskini anapumbazwa na vitu vidogo vidogo tu maana akili yake haiwezi kutazama hata umbali wa hekari 5 mbele. Maskini anasifia wema wa mbunge kwakuwa aliwahi kusaidiwa sh. 20000 ya viatu vya shule vya mtoto wake ili akanze kidato cha 1 kwenye shule...
  18. tang'ana

    Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

    Merry Christmas everyone out there. Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana. Hapa chini ni conversation...
  19. Kitimoto

    Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

    Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina
  20. Mkalukungone mwamba

    Wananchi wapinga sheria kibali cha sherehe Moshi

    Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoa tangazo la kulipia matukio ya sherehe na kisha tangazo hilo kusitishwa kwa muda, mjadala umekuwa mkubwa baada ya wananchi nao kupinga sheria hiyo wanayodai ni kandamizi. Akizungumza na Jambo TV Frank Maro mkazi wa Moshi ameeleza kuwa sheria hiyo ni...
Back
Top Bottom